Habari
Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela.
Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend?
Dada acha kujichoresha mitandaoni.
Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano!
Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
Wana bodies,
Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku .
Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha
Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
Enzi za ujinga zilifika mwisho , uchifu ,udini , ubarbari ,utumwa ,ukoloni pia zilifika mwisho , suali la kujiuliza ;JEE HUU UTAWALA WA UHURU UTAFIKA MWISHO ???!
Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali
Story ni Simba na yanga
Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali)
Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla.
Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio.
Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
dar
dar es salaam
dawasa
forums
habari
hatuna
hawana
jamii
jamii forums
jana
kero
kimara
kimara temboni
lini
maji
mbili
tuna
ukosefu
ukosefu wa maji
wakazi
wiki
zaidi ya
zake
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
Mkwe achia majina uchaguzi S/M umekwisha unakwama wapi Kama NECTA wao walifanya Yao mapema kupanga tu majina miezi? Na ole wako mkwe upange double standard Kama mwaka Jana.
Alamsiki!!!
Niambie lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Tunadanganyana tu awamu zote zilizopita kulikuwa na mjuaji,kuwekwa vizuizini na mauaji tunadanganyana tu ila kwasasa kwasababu vyombo vya habari ni vingi kwahiyo tunapata kwa haraka sana hii ilikuwa au imekuwa kisiwa cha mauaji tokea hapo soma...
Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege?
Hapana, nimekasirika sana.
Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia.
Nimechukia sana.
Hatujawahi kudate, ila kwa...
Akiitwa Mjapan utasikia Mashayoshi Ohira.
Akiitwa mchina utasikia Nie Hon Hun.
Akiitwa mzungu utasikia John, Michael nk.
Akiitwa mmanga utasikia Mohamed bin Suleiman.
Akiitwa gacholi utasikia Kanji Mahendra.
Akiitwa mswahili utasikia John Mohamed Michael nk.
Je waswahili tutajitambua na...
Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi?
Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana
Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota
Na nilipoteza pesa 10000 na iyo ndio ilikuwa kilinda mfuko ugenini nikaona aibu kuomba nauli...
Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu.
Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida.
Ajabu ni kuwa hakuna...
Matokeo ya uchaguzi uliokwisha nchini Senegal unaonyesha chama tawala kililchopigwa chini kwenye uchaguzi wa urais uliopita, kwa mara nyingine kimebwagwa vibaya baada ya chama cha Oussumane Sonko cha PASTEF viti 131 wakati chama cha rais wa zamani cha Takku Wallu Sénégal kikiambulia viti 13 tu...
Tangu mkeka wa mwisho utoke nadhani ni Julai mwaka jana halafu ndipo ukaletwa huu uhamisho wa kwenye mfumo.
Juzi kati tena kukaja habari ya kufuata wenza watu wakashughulikia fasta.
Sasa baada ya mambo yote hayo wengi wetu tumetega macho na masikio matarajio yetu ni kuona mkeka kabambe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.