Wakuu mko salama?
Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection.
Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa malipo yako yanashughulikiwa na utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo yako. Siku ya 2 hakuna...
wakuu kwema?
Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani?
Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
Salam.
Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!
Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu,
Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu.
Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine.
Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
CRDB EBU WEKENI ACCOUNT WEZESHI NA SIO HUU UPUUZI WENU LA SIVYO KITAWALAMBA
Eti hii ndo account ya MWANAFUNZI isiyo na makato khaaaaaaa🙄🙄
Na za wafanyakazi hali ikoje Jamani?.🤣
Salaam, shalom!!
Nimesikiliza hotuba ya kiongozi wetu mkuu akisema kuwa, waliamua kuongeza Kasi ya kuchukua mikopo Kwa kuwa walijua wananchi wengi ni wakwepa Kodi hawalipi Kodi ipasavyo.
Kwamba mikopo iliyopatikana, ilikwenda kuziba pengo la matumizi ya upungufu wa makusanyo ya Kodi.
Kwamba...
Hi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.
Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few...
Jamani nauliza tu Kwa mwenye fununu kuhusu ajira *note Kwa motivation speakers na wenye akili nyingi jibuni swali msianze mambo ya mara ujiajiri mara acha uvivu
Kuna malalamiko yamekuwa yakisambaa kitambo sasa, binafsi kuna siku nilitoka mahakamani nikawa kwenye lunch na mawakili kadhaa, miongoni mwao walikuwepo wa DPP. Nikachomeka, ati mbona kila mkeka wa majaji hatuoni mawakili wa DPP,(niliongea kwa kebehi tu nione mawakili wa serikali tulikua nao...
Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken.
Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited?
Mwaka zaidi ya wa3 bado...
Samahani .
Poleni na kazi Waheshimiwa
Natumaini mkheri wa afya
Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa,
1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha.
2.Mheshimiwa .Poul Makonda
Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi
hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini
yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa yaende mpaka King"ori badala yake huishia Maji ya Chai. Latra mkoa wa Arusha ni bomu, wamelalamikiwa...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
Miaka ya nyuma kidogo uliibuka mvutano baada ya kuusemekewa kuwa ukanda wa bahari unaoizunguka Zanziba una mafuta. Kuna sauti za nguvu sana zilizosikika kutoka Zanzinbar zikidai kuwa hata kama mafuta hayo ni kinibu tu, ni mali ya Zanziba nma walamyasiguswe na serikali ya Dodoma. Ni miaka imepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.