Salaam!
Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa...
Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake.
Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea sasa ni kwamba haya mambo yamekuwa kama laana, masikitiko kwa wanachama wake.
Nimeshuhudia watu...
Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.
Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).
Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo...
Kwema Wakuu!
Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu.
Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
Afríka ínasifika sana kwa uchawi lkn hatujaitumia vema fursa hii. Nadhani sababu kubwa ni kwamba wazungu walituvuruga sana walipokuja Afrika kama wakoloni.
Kuna haja ya kuifufua taaluma yetu asilia ya uchawi kwa kuanzisha Somo la uchawi (witchcraft knowledge) mashuleni.
Halafu A level kuwe na...
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu.
Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza.
Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
Anonymous (381e)
Thread
amani
bunifu
eneo
kasulu
kilimo
kimya
lini
majibu
polisi
tangazo
wanatoa
wapo
wazo
wizara
wizara ya kilimo
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011.
Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu.
Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri.
Kuna mashirika ya umma
Kuna taasisi za umma
Kuna wakala wa serikali.
Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi.
Kuna bodi mbalimbali
Kuna tume mbalimbali...
Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa
Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo
Muanze kudai siku zeenu wanaume
ufafanuzi tafadhali
Leo hii Metacha anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha?
JE WAJUA?
Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea...
Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌
R.IP Rais Mwinyi
Naomba mwenye kujua atujuze maana kwa sasa macho na masikiio yetu ni kuhusu hii droo ya kupanga timu zitazocheza robo fainali ya club bingwa na matokeo yake.
Karibuni.
Mtampa lini Diamond Platnumz heshima yake kwa kile alichokifanya kuwainua Harmonize na Rayvanny wakati wao wameshindwa kabisa kuwainua wengine kwenye lebo zao.
WCB ndio lebo pekee iliyofanikiwa kupelekea wasanii International na kujulikana... Leo hii ukimzungumzia Zuchu, ni msanii...
Mbunge Stanslaus Mabula: Lini Serikali Itakamilisha Mchakato wa Kuanzisha Tarafa za Igoma na Mkolani - Nyamagana
SERIKALI imesema kuwa Mchakato wa kuanzisha tarafa za Igoma na Mkolani Nyamagana ulijadiriwa na kuithinishwa katika ngazi ya Kata, Baraza la madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya na...
Mbunge Stanslaus Nyongo: Lini Serikali Itaanza Kununua Pamba toka kwa Wakulima Pindi Bei ya Pamba Inapoporomoka katika Soko la Dunia
SERIKALI ipo katika hatua za awali za uanzishwaji wa Mfuko wa Kinga ya bei ya Pamba utakaotumika kumfidia mkulima wakati bei inaposhuka kwa kiasi...
Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani.
Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
Mbunge Amandus Chinguile: Ni lini Serikali Italigawa Jimbo la Nachingwea.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutangaza utaratibu na sifa za kugawa majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.