Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.
Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini.
Baadaye ukakana huyatambui.
Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama...
Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko.....
---
Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving ‘from hideout to hideout,’ IDF on his heels, as...
Tangu zoezi lianze miaka michache iliyopita nimekuwa nikikatwa elfu moja,lakini jana ikakusanywa 1500 bila maelezo hiyo 500 imeongezekaje.
Sijajua kwenu wakuu imekuaje pia kama mmekutana na ongezeko hilo.Mamlaka husika imeshawahi ongelea ongezeko hilo na hiyo tsh 500 inaenda kumfanyia nini...
Friends and Our Enemies,
Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...
Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui...
Nawasalimu Kwa jina la JMT
Mwaka 2014, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, alisema kuwa kuna watu wawili duniani: wapumbavu na wajinga. Wapumbavu ni wale wanaoshupaa na kutumia ubabe, huku wajinga ni wale wanaokubali ubabe huo.
Kauli hiyo iliibua...
Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila,
Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa!
===
Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
Hii Barabara ina Kibao cha ujenzi wa Lami tangu enzi za JPM. Lakini mpaka sasa haieleweki lini litafanyika zoezi hilo. Barabara inaendelea kuharibika kila kukicha kutokana na mvua za kila siku.
Barabara hii ndio inatumika na wafanya biashara wa Dagaa mjini Mwanza wanapoenda kurangua Dagaa kwa...
Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi?
Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara...
Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa.
Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa.
Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni.
Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani...
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka.
Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho.
Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi.
Tizama Video
Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza.
https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua.
Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi.
Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
Kwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina.
Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo...
Salam
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa wakisumbuka kwa muda mrefu sasa juu ya kero ya usafiri wa hii barabara.
Kiuhalisia urefu wa barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.