lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Wafuasi wa Lissu wanamtaka Baraba

    Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?" Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba" Hadi Pilato aliguna. Ndio maana akajioa hatia juu ya damu ya Yesu . Na Yesu alipozikwa, Pilato aliagiza kaburi...
  2. L

    Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
  3. Mgombea wa Baraza la vijana anayemuunga mkono lissu ajitoa kwenye kinyanganyiro uamuZi huo ameufanya ktk mdahalo uliokuwa unaendeshwa na Odemba

    Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
  4. F

    Kwanini Lissu akikutana na Mbowe huangalia chini?

    Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha.
  5. B

    Angalizo la usalama: Lissu na wanaoitwa wahaini wote CHADEMA, Akili kichwani asiaminiwe mtu hata baina ya ninyi Kwa ninyi!

    Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
  6. Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

    Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani. Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
  7. M

    Team Lissu inanadiwa na social media

    Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya burudani, matusi, propaganda na sio sehemu sahihi za mabadiliko. Hili team Lissu mumedanganyika. Lema, Heche...
  8. M

    Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  9. M

    Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu katika taasisi yote ile na ameleta maendeleo gani?

    Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani? Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.
  10. Pre GE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  11. M

    UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe

    Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu. Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha...
  12. CHADEMA Singida watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Uenyekiti

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Omari Toto amesema wameamua kumuunga mkono Lissu kutokana na Sera zake ambazo...
  13. Z

    Lissu anaongoza kikao muda huu, Mbowe is real democratic!

    Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha...
  14. Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga

    Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga, ametoa ufafanuzi wa shutuma batili anazotoa Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na Salim Kikeke Tazama Video hii
  15. F

    Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

    Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
  16. Kufukuzwa kwa Ntobi ni moja ya ishara kwamba Lissu na kundi lake ni madikteta kama alivyokuwa JPM, hawataki uhuru wa mawazo

    Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe. Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa formula ile ile ya JPM ya udikteta. Likaitisha kikao haraka haraka, bila hata kumsikiliza, wakamfukuza...
  17. Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

    https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
  18. Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital. Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana...
  19. Lissu jiandae, jamaa maji ya shingo na anataka kukufukuza

    "....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe." "...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu." Duru.
  20. Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…