Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
anafanya
biashara
chadema
gari
hali
hii
jamaa
kwenda
lissu
mbali
mkubwa
ndege
nyumba
radhi
safari
tarime
tiketi
tiketi za ndege
uwezekano
wachimbaji
wachimbaji wadogo
wadogo
war
zake
Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika.
Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale...
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa.
Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma.
Vilevile, kwa maokozi mengi aliyookolewa na MWENYEZI Mungu hakika Tundu ni wazi ni Mpango wa MWENYEZI Mungu mwenyewe.
Na ndiyo maana hata Mbowe aliitisha suluhu baina Yao kwa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa.
Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
Ilikuwepo Manchester united
Ilikuwepo Barcelona
Ilikuwepo Brazil
Hizi ktk soka zikivuma lkn hivi sasa hazivumi tena.
Kisiasa
Huu ndio wakati wa Lissu kufifia kabisa ktk siasa. Baada yauchaguzi kwisha na Lissu kushindwa vibaya ndio mwisho wa siasa zake za umachachari.
Hakuna jukwaa la kisiasa...
Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais...
Huu ndio ushauri wangu
Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi.
Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa mwongozo wa maadili na haki, na kuwasaidia watu kuelewa na kutatua tofauti zao kwa njia ya amani...
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .
Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .
Ni hayo tu .
Nimesikiliza Hotuba ya Heche leo akitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA, nimegundua kisiasa Heche ni Mkubwa sana kuliko Lissu ingawa kiharakati Lissu kamuacha mbali sana Heche.
Heche katambua nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, hotuba yake imekwepa sana kumshambulia Mbowe Binafsi na...
Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni...
Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake.
Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi.
Sasa ni rasmi mkeka wao...
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
Nimetafakari sana nimeona namna pekee ya kukinusuru chama rafiki CHADEMA ni Lissu kukubali matokeo na kumuunga mkono mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe mara baada ya uchaguzi wao. Kinyume na hapo CHADEMA haitasalimika. Itavunjika vipande baada ya muda mfupi.
Lissu na genge lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.