Simple mathematics.
Mbona Seif Sharif Hamad hakuwa mwenyekiti baki katibu mkuuna alishine.
Wafuate mfano wa Putin na Medinefev wanaswutch tu vyeo vyao bila conflict
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.
Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni wafata upepo.
Leo wamemsahau kabisa kama hayupo vile.
Na hivi ndio itakavyokuwa baada ya...
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias .
Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa...
Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya...
Man'gana ghasarikile.
Dk. Lwaitama asema hayo wakati akihojiwa na SAUTi DIGITAL. Kwamba uongozi wa chama ni suala nyeti zaidi ya kupendwa tu. Dk. Lwaitama alieleza kwamba kama ni kupendwa, Diamond Platinum anapendwa kuliko hata Lissu lakini huwezi kumpa uongozi wa chama.
Dk. Lwaitama alisema...
Dk. Lwaitama, moja kati ya nguli wa zamani pale UDSM ameshangazwa na msimamo wa Lissu kwamba hataki kuzungumza au kuridhiana na yeyote. Katika moja ya makala zake, mzee wa maswali magumu Ansbert Gurumo, katika moja ya makala zake, alisema kwamba Lissu ni Mwanasiasa ambaye anaweza kutoa kauli...
Lissu ameanza kutoa milio.
Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.
Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama...
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa...
Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani .
Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.
Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
Heshima sana Wanajamvi.
Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati.
Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ilimfukuza.
Ikiwa Kanda ya Kati yenye Mikoa ya Morogoro,Dodoma & Singida ilimtoa hadi Kamati...
Heshima sana wanajamvi.
CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh...
Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu.
Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo amelibomoa. Lissu amekata mti, baada ya kuukata, sasa anasema anataka aukwee mti huo.
Hii ni moja kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.