lissu

  1. chiembe

    Baada ya Lissu kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025,ungependa aelekee katika chama gani

    Chama kipi kinamfaa baada ya kufukuzwa uanachama wa chadema mwaka 2025? Mimi namshauri aende UDP Upendo.
  2. Ngongo

    Lissu atasema chochote malengo yake yatimie.

    Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa. Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko. Kelele za fedha za Abdul na Mama Abdul zimekuwa silaha kubwa ya Lissu kupigania nafasi ya Mwenyekiti...
  3. E

    Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  4. Yoda

    Madai ya Lissu ya hongo CHADEMA na maswali tata.

    Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana, 1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali? Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo michezo ambao wasingeacha alama au ushahidi ikiwa wangeweza au hata wangeshindwa kumuhonga Lissu...
  5. R

    Hivi waliotaka kumnyamazisha Lissu Kwa kumuhonga, waliata wapi ujasiri huo?

    Hellow!! Najiuliza, hivi Inawezekana vipi kumtuliza kirahisi Simba au faru aliyejeruhiwa Kwa risasi Kwa vipande vya Fedha? Ama Kweli ,RUSHWA hupofusha ufahamu. Karibuni 🙏
  6. Bezecky

    OMBI MAALUM KWA LISSU: Tunajua utashinda tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali

    Mhe Tundu Lissu tunajua utashinda Uchaguzi huu kwa zaidi ya 80% Ombi letu sisi wafia chama tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf pale Makao Makuu ya Chama, Tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali hakuna asijua hili
  7. M

    HII PICHA NA CONTENT ZA LISSU ZINAMAANA GANI ?

    Wadau muda mdogo mambo mengi Picha imekataa, kuhusu kuunga mkono mazungumzo ya chadema na bi Samia
  8. Crocodiletooth

    Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

    Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
  9. lord atkin

    Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema. Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na...
  10. Superbug

    Wimbo wa Iko Iko ane wa Justin Wellington My bestie namdediketi tundu lissu

    Wimbo huu mzuri mpya kabisa wa Justin Wellington Iko Iko namdediketi tundu lissu. Mwamba asiechuja. Mwenye nao wa video autupie hapa.
  11. L

    Pre GE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda. Tena kama kwenye chama changu...
  12. M

    Kauli ya Lissu dhidi ya madai ya kukutanishwa na Abdul mwezi Oktoba

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea nafasi ya Uenyekiti, TunduALissu akizungumza kupitia clubhouse usiku huu amesema, kauli ya Mhe. Ezekiel Wenje hazina ukweli wowote na kwamba hamdai hata shilingi moja na hajawahi kumkopesha. "kama anasema alinikutanisaha na huyo Abdul basi yeye ni...
  13. Lord denning

    Lissu katusaidia sana kuwajua mamluki

    Kuna Id humu zilikuwa zinaaminika kwa kipindi kirefu sana kama id za watu makini ambao ni wana mageuzi ya kweli. Id hizi zilijitanabaisha kuwa watu ambao ni wana mageuzi kweli ambao kamwe usingefikiri kuwa ni watu walio kimakakati. Sakata la Lissu kuibua maovu yanayofanywa na wanasiasa...
  14. Pulchra Animo

    Mbowe v Lissu: Is this the beginning of the end of a united and resilient CHADEMA? Why or why not?

    The current power struggle between CHADEMA’s Freeman Mbowe and Tundu Lissu is undoubtedly a significant test for the party. Infighting at the top can weaken any political organization, especially in a fragile democracy where opposition parties face external pressures as well as internal...
  15. 5

    Hii interview ya Lissu ndio kaburi la Mbowe, Lussu amekokomoka yote

    https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
  16. assadsyria3

    Pre GE2025 CHADEMA mnaogopa nini kumfukuza uanachama Lissu?

    Mimi sio mwanachama wenu ila nimesikia kuwa kavunja Katiba ya chama chenu kule X lakini mpo kimya? are u selective?
  17. S

    Jamiiforuma acheni upendeleo kwa Tundu Lissu, najua mnataka awe mwenyekiti wa Chadema jambo ambalo haliwezekani

    Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair. Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini...
  18. Q

    Ni kweli Mbowe kachoka, lakini Lissu sio mtu sahihi wa kumwachia chama

    Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self. Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa...
  19. Yoda

    Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  20. M

    Lissu: Kama Mbowe ametoa mabilioni kwenye chama aoneshe documents, hakuna fedha ya chama inayoweza kutumika bila nyaraka za kuthibitisha

    Tundu Lissu ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, ametoa wito kwa Freeman Mbowe, kueleza kwa uwazi kuhusu madai ya kutumia mabilioni ya fedha ndani ya chama. Akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse, Lissu amesema kuwa, Mbowe amekuwa na mchango...
Back
Top Bottom