Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.
Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama...
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala
2. Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi...
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa...
Angalikuwa mwenyekiti Mbowe Muda kama huu tungalikuwa tunaona bony yai akiichangamsha maada zakd za utekaji ktk X.
Hata mdude angalikuwa yupo active muda huu, lkn hivi sasa mada zake zinamtetea Dr slaa tu
hivi sasa wengi wa vijana wa cdm muda wote wanamsifia mwenyekiti wao tu badala ya kuja...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17.
Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya...
Lissu kulingana na ujasiri aliobarikiwa na Mungu pamoja na uzoefu wake mkubwa wa kushughulika na migogoro mbalimbali nchini ikiwemo wa Kuwaondoa Wamasai wa ngorongoro katika eneo lao la asili ingempa kete ya juu katika mkutano wa usuluishi wa mgogoro wa Congo uliotoka kumalizika siku hizi...
Heshima wanajamvi.
Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.
Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa...
Hivi mheshimiwa Lissu chama anakiendesha vipi? Katibu mwenezi mwenyewe? Mbona mambo yanaaza kuharibika mapema mno?
Kama ndani ya chama yupo mwaka 20 kama kiongozi wa juu, inafika mwezi anashindwa kuchagua uongozi uliotimia au haamini watu ndani ya CHADEMA?
Mbowe hayupo tena kwa kumbebesha...
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.
Ila...
Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.