live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Live on Jambo Tanzania: Sera Mpya ya Elimu, Mtaala Mpya wa Elimu: Rais Samia apewe Maua -Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda

    Wanabodi, Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake! Wale wenye access angalieni... Ukiondoa the landmark ya Baba wa Taifa kutoa bure elimu ya msingi, na JPM...
  2. Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
  3. Lindi: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF

    Wanabodi Live on TBC: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF, Lindi. https://www.youtube.com/live/fYB_7KkRpdg?si=ulkYTnJyPEdun8YL Karibu. Paskali
  4. M

    Kiongozi wa Hisbullah aongea kuhusu kuivamia Tele Aviv

    Sayyed Nasrallah: The Victory is coming, our generations will witness the liberation of Al-Quds and will pray at Al-Aqsa Live News 15:53Sayyed Nasrallah: One of the major aims behind the Israeli crimes is to subdue the people of the region 15:51Sayyed Nasrallah: Israeli enemy flagrantly...
  5. Live Ihefu 1 - 3 Azam Fc, 05/11/2023

    Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates, Imeanza saa 10, Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates Full time 1-3 in favor of Team bora sana ya Azam Fc
  6. R

    Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

    INTRODUCTON: Shalom!! Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani. Mbinguni ni wapi? Hapa tunapoishi ni Mbingu ya kwanza, Mbinguni tunapoongelea Leo ni Mbingu ya tatu. Ukiigawa katika...
  7. Live Bunge TV: Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo

    Wanabodi Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana mkubwa mmoja. Spika ametangaza Waziri Mkuu hatapokea maswali, atatangaza jambo mahsusi Waziri Mkuu...
  8. Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

    Baada ya 1st leg kumalizika kwa Mamelody kuibuka na ushindi wa bao 1-0 leo ni mchezo wa pili wa marudiano. Mechi inayarajiwa kuwa ngumu kwa dakika zote. Muda wa mechi ni 21:00 Kikosi cha Al Ahly Kikosi cha Mamelodi Mchezo una kasi, Al Ahly wanapambana kutafuta goli la kusawazisha kwa kuwa...
  9. Rais Samia ahutubia Bunge la Jamhuri ya Zambia, leo Oktoba 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Bunge la Jamhuri ya Zambia leo tarehe 25 Oktoba, 2023. Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili kumpokea Rais Samia ambaye atahutubia Bunge hilo...
  10. FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

    Baada ya kushuhudia mechi tamu kutoka kwa Al Ahly akimkaribisha mpinzani wake na mshindani wake wa siku zote Simba Mechi ambayo imetamatika kwa sare ya bao 1-1 na kumfanya Al Ahly avuke kwenda nusu fainali kwa faida ya bao la ugenini aliyopata kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi hapa Tanzania...
  11. AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

    Baada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League (AFL) Match ambayo iliwakutanisha Big fish wawili ambao walitoshana nguvu na kutoa burudani ya...
  12. Kikao cha 77 cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Oktoba 20, 2023

    Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023. Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka...
  13. FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

    Kuanzia saa 1 jioni, hawa wanapambana.
  14. FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

    Game On Dakika ya 23. Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
  15. R

    Live kutoka kuzimu!

    INTRODUCTION. Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa. MBINGUNI ni makazi ya Walio hai. KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu. Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho...
  16. Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

    Watch TBC live ! https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli. Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza. Mkurugenzi...
  17. K

    FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

    Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza. Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani. Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS. Mpira unaendelea..
  18. L

    Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
  19. FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

    Mshindi wa Ligi ya mabingwa pamoja na Mshindi wa kombe la shirikisho leo wanakutana kucheza fainali Mpira ni saa 21:00 yani umeanza dakika tatu zilizopita. Tutakuwa pamoja hapa kujuzana yatayojiri.
  20. Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

    Hapa jana kwenye chakula cha jioni: Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa urafiki. Kwa wengine, nostalgia, na kwa wengine, ukweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…