Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari.
Subira ameyasema hayo leo wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
Nipo hapa Johari Rotana kama moja ya wahudhuriaji. Nipo hapa kuwaletea kinachojiri
Ahmed yupo Live kutuambia nini kitakachojiri.
Sundaland anatangazwa kama mzalishaji na msambazaji wa jezi za Simba Sc. Mkataba ni miaka miwili kwa thamani ya bilioni 2 kwa kila mwaka.
SIMBA YAACHANA NA VUNJA...
Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.
Wabunge hao inasemekana...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023.
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
Kama...
Hata Kama nasaa zao hazibebi mwonekano wao hiyo isiwe sababu ya kuyadharu maneno yao kwani mara nyingi ili uitambue njia vizuri ni busara kuwauliza wanaorudi na hata tukipata Muda Mwingi wa kuishi hatutoweza kuusimulia mwisho wetu Bali tutausimulia Mwanzo wetu ,Basi ukibarikiwa wabariki na...
Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco.
Mchezo umeanza
20' Mamelodi Sundowns wanafanya mashambulizi kadhaa, wageni nao wanajibu lakini bado hakuna umakini...
Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali
Mchezo ni saa 4 usiku (EAT)
Vikosi kwa timu zote mbili
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC..
Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga waliibuka na ushindi wa magoli 4-1
Je nani ataibuka mshindi?
00" Mpira umeanza
03" Mzize anapiga shuti...
Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili.
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni @angelnyigu •
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa...
Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando.
Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku
Kikosi cha Young Africans 👇👇👇
▪️Vikosi vinaingia uwanjani hapa
▪️0' Mpira unaanza
▪️03' Mayele...
Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je?
Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa ambae ni mkubwa kwangu alileta demu, Mimi ikabidi nijifanye nimelala usingizi ili nisiwaharibie watu...
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.