Unakuta watu wamepanga foleni kusubiri kuingia hizo wanazoziita ofisi za mikopo..so kila atakayeingia bank atakusoma kwamba unaenda kutafuta mkopo...wengine wameweka desk hapo hapo karibu na tellers, kila unachoongea wateja wengine wanasikia.. Sasa why mnashindwa watunzia privacy ya wateja kiasi...
Wakuu jana nilibaini kuwa mdogo wangu kijijini katika application ya mkopo cheti cha kuzaliwa kilichoambatanishwa hakikuwa kile kilicho thibitishwa. Nilituma Dar es Salaam haraka cheti kilicho hakikiwa na Rita na kuomba mtu akipeleke HESLB, amepeleka wakasema eti ni lazima aliyetuma maombi...
Kenyan law makers want the government to renegotiate the loan agreements signed with China for the Standard Gauge Railway (SGR) whose viability has come into question despite injection of billions of dollars into the project.
The EastAfrican has learnt that the National Treasury is seeking a...
Bank ya Dunia imeahirisha kupiga kura ya kuikopesha Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za kimarekani milioni 500 sawa na shilingi trillioni 1.3 za kitanzania kwa ajili ya kufadhili elimu.
Kama mnakumbuka Benki ya Dunia ilikuwa ipige kura wiki hii kuamua kama iikopeshe Tanzania au la...
Position: Loan Officer/ Credit Officer
We are seeking a motivated, experienced Loan Officer/ Credit Officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications.
You will act as liaison between financial institutions, individuals, and...
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.
Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:-
(a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva.
(b)laini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.