Takriban nusu ya watu katika Taifa la Australia wametakiwa kutekeleza agizo la kukaa nyumbani huko Sydney, Brisbane, Perth, Darwin, Townsville na Gold Coast
Mamlaka zinafanya jitihada kudhibiti maambukizi ya Kirusi cha Corona aina ya Delta ambacho kimetajwa kusambaa kwa kasi huku Viongozi wengi...