A lockdown is an emergency protocol that usually prevents people or information from leaving an area. The protocol can usually only be initiated by someone in a position of authority. Lockdowns can also be used to protect people inside a facility or, for example, a computing system, from a threat or other external event. Of buildings, a drill lockdown usually means that doors leading outside are locked such that no person may enter or exit. A full lockdown usually means that people must stay where they are and may not enter or exit a building or rooms within said building. If people are in a hallway, they should go to the nearest safe, enclosed room.
Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema.
Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekuta kuna video inasambaa katika facebook ikionyesha mwanamke mmoja ambaye inasemekana ni muhadhiri katika chuo kimoja nchini Uganda akipambana na polisi huku akipinga agizo la lockdown kwa madai watu wanakufa na njaa.
Polisi wametumia...
Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19.
Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika.
Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara...
Naona kumekuwepo na hali ya upotoshaji nchini kuwa hatua za lockdown hazina manufaa! Hili naona kama ni upotoshaji ambao unasababishwa na ukweli kwamba viongozi wengi wameingiza siasa kwenye vita dhidi ya corona na matokeo yake ndo haya ya upotoshaji pamoja na mambo mengine.
Mifano iko mingi...
Wandugu, kuna misconception miongoni mwa Watanzania wengi niliokutana nao (na michango inayoletwa hapa) kuhusu lockdown (kuzuia watu wao kutoka majumbani kwao kwa kiwango fulani) ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na COVID 19 pandemic. Nchi zote ambazo zimetangaza kuwa hadi sasa zimefanikiwa...
Migonjwa ya kuua kibao imeshatokea kiwe kipindupindu,malaria ,degedege ,ukimwi no lakini hiyo.migonjwa inaua lakini kina inaowrsa kuua na wengine wanabaki imeshindwa kuua wote sembuse corona?
Siku ya kifommtu Kama umeandikiwa kufa ikifika siku yako hata uvae barakoa kuikwepa corona isikuue...
Lockdown imeshindwa duniani kote, Mataifa yote yameshindwa kuendelea nayo kutokana na madhara yake. Imeshindwa kwakuwa ni against nature, Mungu alivyoumba na anavyotaka tuwe is against lockdown.
Uvaaji wa barakoa utashindwa, tena vibaya sana kutokana ni against nature na uumbaji. Hewa...
Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia...
Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka
Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
Hiki kipindi cha Karantini tunashudia mengi jamani. Huko Italia kuna mwanaume mwenye asili ya Afrika amepiga simu polisi kuomba msaada wa kuondolewa nyumbani ili amuepuke mpenzi wake mwenye uraibu wa ngono (sex addict)
Unaambiwa mwanamke huyo amekuwa akitaka kufanya tendo kila mara kitu...
Serikali ya Chad imechukua hatua ya kudhibiti maambukizi ya Corona katika mji mkuu wa nchi hiyo Ndjamena na miji mingine mikubwa. Marufuku ya watu kutotembea katika miji hiyo inaanza kutumika leo Ijumaa Mei 8
Hatua hii inalenga kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona katika miji mingine wakati nchi...
Cabinet pressure on PM to name dates as 20,000 new virus cases are estimated every day
Boris Johnson will keep Britain in lockdown until next month at the earliest after he was warned that outbreaks in care homes and hospitals make significant easing any sooner too dangerous.
He is being urged...
Baada ya kujifungia ndani kwa muda mrefu, wafaransa wameamua kama kufa na wafe tu, lockdown haivumiliki tena, wame ‘ease’ lockdown ili kunusuru uchumi.
Source: BBC TV usiku huu
Watu wakipanga foleni ya kupewa msaada wa wali maharage huko Paris, Ufaransa.
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
Salamu wanaJF
katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k
Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!!
Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
Virusi vya Corona: Je, nchi za Afrika zimeweza kuzuia kasi ya maambukizi?
Mji wa Kigali ukirejelelea hali ya kawaida
Nchi za Rwanda na Nigeria kuanzia leo Jumatatu zimeanza kulegeza masharti ya amri ya kusalia ndani kwa wananchi wake kama sehemu ya mapambano dhidi ya corona.
Nchini Rwanda...
PEOPLE aged over 50 should remain under lockdown for longer than younger Brits and fined if they can’t prove their age when they are out, experts claim.
Researchers at the University of Warwick believe a “rolling age-release strategy” to let younger people out earlier combined with social...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.