Salamu wanaJF
katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k
Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!!
Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...