logo

  1. endagulda

    Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  2. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Baada ya Kumsajili ili Kuwakoga Wengine na Kumlazimisha aibusu Logo yao mbaya, sasa anataka kuwapeleka FIFA kwa Kukiuka Malipo ya Kimkataba

    Nyie mlidhani kwakuwa ni Mlevi na mvuta Bangi za Kwao Kinondoni Biafra, Kawe Kijiwe chake maarufu cha Unga Unga na Tandale Gereji wa Dula basi hajui Haki zake na Sheria hivyo mtamburuza tu mtakavyo? Haya sasa kawapeni hadi mwisho wa Mwezi huu wa Oktoba, 2023 mumlipe Fedha zake anazodai na...
  3. The introvert

    Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile...
  4. Kigoma Region Tanzania

    Ni rasmi sasa kwa watu wa mkoa wa Kigoma ni rukra kuvaa chapa (logo) ya JWTZ

    Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako. Hii ni heshima kubwa...
  5. K

    Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  6. rutajwah

    INAUZWA Pata Logo na Social Media Posters kwa bei nafuu

    Habari wanajf, Kwa wanaohitaji huduma ya Logo/nembo kwa ajili ya Taasisi na Biashara Karibu nikuhudumie. Vile vile nadesign Social media Posters Kwa ajili Ya kupost kwenye page ya biashara/taasisi kwenye mitandao ya Facebook, Instagram, Linkedin etc. Bei za Logo ni 50, 000 TZSH Bei za...
  7. The bump

    Nahitaji LOGO ya Biashara, Motion na Logo ya kawaida Wakufunzi wa After Effect naomba mnisaidie

    Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni. Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV...
  8. D

    Nadizaini logo ambazo zinaambatana na offer kadhaa kama letter head (MS Word) pamoja na dizaini ya business card au tangazo la kupost mtandaoni

    Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head (Softy Copy) 70K= Logo+B Card, Letter head au Tangazo (Softy Copy) kimojawapo 60K= Logo pekee BEI ZA...
  9. Teko Modise

    Mfahamu Jenny Joseph, Star wa logo ya Kampuni ya Filamu ya Columbia Pictures

    Wakati wa Majira ya Kiangazi mwaka 1991 huko nchini Marekani, Kampuni kongwe ya filamu ya Columbia Pictures iliyopo chini ya kampuni mama ya SONY ilikuwa imepata wazo la kubadilisha logo yake ya mwaka 1923 na kuweka mpya ili kujiongezea mvuto wa kibiashara. Basi akatafutwa mbunifu wa masuala ya...
  10. Apollo

    Nokia imebadili mwonekano wa logo yake

    Kampuni ya Nokia imefanya mabadiliko ya mwonekano wa logo yake. Design ya logo ambayo imekuwa ikitumika tangu mwaka 1966, japo ilikuwa inabadilika kodogo (mwaka 1992, 2006 na 2011); kampuni ya Logo imeamua kuweka logo mpya kabisa ambayo ni tofauti na logo yake ya kawaida. Nokia ipo katika...
  11. Dennis_Ritchie

    Vipi nikikwambia unaweza ukatengeneza logo bila kutumia experience yoyote?

    Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote! fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop. 1. Tutamia tool inaitwa chat gpt katika kutengeneza prompts. Kama huna account create hapa...
  12. Suley2019

    Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

  13. buffalo44

    Karibu kwa huduma ya graphics, mabango, stickers, logo, UI/UX design na zaidi. (Bei imeambatanishwa)

    LOGO DESIGN Bei: 50,000/= 2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. 70,000/= 3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. BRAND IDENTITY Bei: Tsh 100 000/= Logo, pamoja na patterns, matumizi ya rangi, na elements muhimu zinazobeba brand...
  14. vibertz

    Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

    Ninaipongeza klabu ya Yanga kwa kuendelea kufanya vizuri kwenye ku design jezi. Jana zimezinduliwa jezi za kiwango haswa mpaka mashabiki wa Simba wakizitamani. Lakini moja ya jambo ambalo kwangu ni tata ni ishu ya logo ya main sponsor wa mashindano ya Caf inter club ambaye ni total energies...
  15. F

    Mnyilinga project the logo Gallery

    From mnyilinga editing team Hellow guys pengine unahitaji logo kari na matangazo tuko kwa kazi hiyo Kazi zetu utazipenda na gharama ni ndogo sana kwa ku design logo tuna vunja vunja bei ni sawa na bureee !! Karibu sana ujipatie huduma zote za logo designing na matangazo na editing nyingine...
  16. F

    Logo mpya kutoka mnyilinga team

    Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁 Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
  17. F

    new logo (mnyilinga platform)

    Nimetengeneza hii leo kama unahitaji logo kali ni cheki tuongee MIMI GHARAMA ZANGU ZA LOGO DESIGNING NI NAFUU SANA NA LOGO NI NZULI WATAALAMU ! nahitaji msaada wa mawazo pamoja na mwongozo wa hili nina Tsh 300k (laki tatu) je naweza kupata laptop nzuli yenye uwezo wa kunisaidia Graphic...
  18. P

    Computer graphic, photoshop, illustration, Logo design, printing, marketing

    Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience. Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
  19. F

    Nifanye nini kufaidika na kipaji changu cha digital designing?

    Wakuu nahitaji ushauri na pia maoni kuhusu hili, Naitwa Eliud Novat naishi Dar es Salaam. Nina ujuzi wa kutengeneza logo na napenda sana digital designing lakini tangu nijue nina huo utaalamu sijawahi kufaidika chochote na kipaji hicho. Je, nawezaje kukitumia kipaji hiki iwe fursa ya mafanikio...
  20. Mdeke_Pileme

    Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

Back
Top Bottom