Habari!
Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika...
Habari wana JF
Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo
Natengeneza LOGO kwa matumizi ya ofisi,biashara au matumizi binafsi.Bei ya kutengenezea logo ni Tsh 30,000 na ukinitafuta
tutazungumza kuweka mambo sawa
Natengeneza FLYER kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwa Tsh...
Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
Tunatengeneza Business Card aina zote, logo, vitabu vya risiti, kava za vitabu na mabango makubwa ya biashara kisha unatumiwa kwenye email yako au WhatsApp popote ulipo itakufikia.
Unatuma SMS kwa namba 0755750792 au 0623727260
Sent using Jamii Forums mobile app
habari zenu wakuu,
kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia...
pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former President Jimmy Carter, center, at Buffalo Cafe in Plains, Georgia,March 1, 2020.
Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former...
Habari wakuu,
Binafsi napenda kushauri viongozi wa Chuo hiki kuitazama upya nembo ya chuo kama kweli nembo hiyo inastahili kubaki kama ilivyo au ifanyiwe marekebisho madogo ili iwezeke kusadifu zaidi maswala ya academic kuliko ilivo sasa ambapo,kwa mtazamo wangu,inasadifu zaidi siasa za miaka...
OFFER kabambe kutoka D-TECS Group! Chagua huduma unayohitaji kati ya zifuatazo tukufanyie kazi nzuri na TUKUPE ZAWADI kutoka restaurant ya kisasa ya mihogo inayobamba hapa town ya NEYSCASSAVA!
Huduma zinazoambatana na OFFER hii;
Label designing/ Lebo ya bidhaa zako
Logo designing/ Nembo ya...
Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu:
1. Graphics design
a. Logo Design
b. Brochure Design
c. Banner Design
d. Flyer Design
e. Products Brand Design
f. Software Layout Design
2. Software Development
a. Website Design and Development
b. Blog Design...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.