logo

  1. D

    Best open source application logo designing

    asee wanajamvi sina mengi naomba kuuliza open source app nzuri ya kutengeneza logo, ambayo sio nzito sana kwa midrange pc kwenu studio wakuu....
  2. M

    Msaada jinsi ya kutumia logo remover

    Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
  3. INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  4. Unahitaji Logo? Ingia hapa

    Watu, salamu kutoka Azma Africa. Uzi huu ni mahsusi kwa yeyote anaehitaji Logo na anaamini tunaweza kufanya nae kazi. Zifuatazo ni hatua ambazo kwa kawaida huwa tunazifuata mpaka kukamilisha zoezi la kutengeneza Logo ya mteja, karibu. Hatua ya kwanza: Utatupa maelezo ya namna...
  5. Unaionaje logo yetu? Tuboreshe wapi? Tunapokea maoni, ushauri na mapendekezo

    Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo. Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza...
  6. Watengeneza Mabango, logo na Vipeperushi

    Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing). Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
  7. Tuhuma: Logo ya Wasafi Bet yafanana sana na logo ya kampuni iliyopo nchini India kuna janja janja imetumika?

    Kuna tuhuma zinaanza kuenea taratibu, Inasemekana logo ya Kampuni mpya ya Wasafi Bet imefanana sana na logo ya kampuni ya Wily Trchnology Pvt Ltd, inayoshughulika na masuala ya IT nchini India...Baadhi ya wadau wanasema logo ya Wasafi Bet imetengnenezwa kwa kutumia mfumo wa copy & paste kama...
  8. OFFER!! Natengeneza logo ya biashara kwa 35k

    ..
  9. Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

    Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine. Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
  10. T

    Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

    Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi. Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
  11. Yanga na rangi Nyekundu kwenye Logo ya NBC Bank

    Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3. Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank kama mdhamini ni uwepo wa nembo/chapa yake (Logo Placement), katika jezi za timu shiriki katika Ligi...
  12. Logo Tsh. 30,000/= tu! ndani siku 1, hapa hapa jf

    Utapata logo kwa ajili ya matumizi yako binafsi, taasisi, biashara, kampuni n.k. kwa Tsh. 30,000/= Tu ndani ya siku 1 hapa hapa jf ama ukipenda whatsapp: 0767 402964. Logo utatumia kutengenezea business cards, stika, flyers, bango la biashara yako, profile pictures za biashara yako au binafsi...
  13. M

    Tunaenda na kanuni, kwahiyo Yanga jiandaeni kuweka logo nyekundu ya mdhamini kwenye jezi zenu msimu ujao

    Logo ya mdhamini wa ligi ni nyekundu ila Yanga walilegezewa kwa kuweka logo nyeusi ambayo sio halisi. Vodacom na TFF wanasema msimu ujao ni kwenda na kanuni tu na kwa kuanza ni logo halisi ya mdhamini yaani nyekundu kwa kila klabu inayoshiriki ligi. Japo mnaonekana mpo enzi za mawe kwa kukataa...
  14. N

    Imechukua Miaka mitatu Kuredesign Hii logo ya Xiaomi na Imegharimu $305,000

    Mpaka Sasa sijapata jibu kuhusu wajamaa kuwa ni kiki wanatafuta, Wamepigwa ama Kuna ubunifu gani umetumika hapa. Kwa taarifa walizotoa ni kuwa imechukua Miaka mitatu kukamilisha hii design Mpya na Wamelipa kiasi cha dola za kimarekani $305,000 Kwa designer mjapani aitwaye Kenya Hara
  15. Wapi nitaprint logo yangu katika mifuko ya sulfate kwa ajili ya unga wa sembe kwa Dodoma

    Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga.. Logo ninayo tayari Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25 Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi Mnatumia tecnolojia ipi Kuprint au muhuri?? Nipen gharama za kila teknolojia
  16. C

    Logo ya Apple

    Hivi hizi simu za IPhone kuwa na logo ya tunda la Apple huku likiwa limemegwa kidogo ni kwa sababu gani?
  17. Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  18. K

    Kenya Rugby League unveils its logo

    The Kenya Rugby League Federation finally has a new logo. This is a culmination of a five weeks long logo search competition that attracted a total of 456 entries from both local and foreign-based graphic designers. The competition kicked off on 14th July running till the 30th of July 2020, is...
  19. Je ni chuo gani kina logo nzuri?

    tukiachana na ule mjadala mzito Kati ya simba na yanga kuhusu logo zao, je ni chuo gani kina logo mzuri? Just for fun🤣🤣
  20. Simba SC hii Logo mmebuni au mmekwapua sehemu?

    Habari wanaJF, Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine. Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…