loliondo

  1. M

    Pre GE2025 Kauli ya DC Longido, Marco Ng’umbi imetibua kidonda cha Uchafuzi wa Uchaguzi sasa wanahaha kujisafisha

    Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha madai kua mifumo ya sheria za uchaguzi ili viongozi wanaopatikana watokane na matakwa ya wananchi walio...
  2. Je Loliondo ni nchi ya Waarabu ndani ya nchi ya Tanzania?

    Mzuka? Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE. Kama haitoshi anasema mara ya mwisho kuwa huko kila akitoka nje ya Loliondo siku akirudi anatumiwa message na...
  3. Stand ya Loliondo Kibaha aibu kwa Serikali ya Mkoa wa Pwani

    Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa Mattias, kongowe au mlandizi kupitia Loliondo. Miundombinu ya kuingia njia hiyo ndio shida ilipo...
  4. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  5. TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  6. S

    Watanzania wamejaa matatizo, hivyo yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata kama watu walivyomfuata Yesu, Babu wa Loliondo. Sasa Mwamposa na Makonda

    Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata mradi tu awe na mamlaka na zaidi awe na kipaji cha kuigiza mbele ya...
  7. Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  8. M

    Tanzania yatoa ufafanuzi Umoja wa Mataifa (UN) kutetea hatua za kunusuru uhifadhi wa Loliondo na Ngorongoro

    Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
  9. Babu wa Loliondo: Kielelezo cha spinning doctor

    Enzi hizo spinning doctor ilifanikiwa sana Kwa kiasi kikubwa tofauti na leo. Ndio maana Dowans Scandal ilikufa kifo cha mende. Swali je, kwa sasa spinning kupoteza nguvu ni uelewa kwa sasa kuwa mkubwa kwa watu au elimu inatolewa ipasavyo.
  10. Kuhusu Loliondo: Serikali ya CCM yaaibika Vibaya Kortini

    Kuna mambo yanachukiza sana, unawadhulumu watu haki zao Kwa matamko ya ajabu ajabu. Tuendelee na Maombi. Wengine sio waandishi wazuri, soma hapa, kama kusoma huwezi angalia hata picha. https://x.com/Nipashetz/status/1705118421573124143?t=PH1lYCqRBljDPzKADk7X5Q&s=08
  11. Akipatikana Rais toka Tanganyika akodishe/Auze Tumbatu, Mji Mkongwe au Kizimkazi kwa mkataba kama wa Loliondo au Ngorongoro

    Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni. Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha...
  12. Tanzania inatakiwa kuvunja Mkataba wa Loliondo!

    HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na...
  13. Tanzania tumenufaika nini kwa uwekezaji huko Loliondo na Ngorongoro?

    Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro? Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu Wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo Polisi, JWTZ na Askari wa TANAPA. Inaelezwa...
  14. EWURA yawakamata walanguzi wa mafuta ya Petroli Loliondo

    Timu ya Wakaguzi EWURA ikishirikiana na vyombo vingine vya Usalama imewakamata walanguzi wa mafuta ya petroli wakihifadhi na kuuza mafuta hayo kwenye madumu ya lita 20 na 200. Aidha waliokomatwa kwa kukutwa wakiuza mafuta Loliondo ni: 1. Wilson Bussein Balagiswa Lita:411 2. John Emanuel...
  15. Baada ya DP World, tukumbuke kipande cha Loliondo

    Nimetafakari sana haya nauzo ya ardhi za Tanganyika, Hapo mwanzo kulikuwako Tanganyika ikatawaliwa na Julius K Nyerere akang'atuka akamrithisha Ally Hassan Mwinyi nchi ikiwa haina tobo wala kiraka. Ikawa jioni ikawa asubuhi Mwinyi akawa madarakani. Mwinyi akatawala akiwa ni mtoa ruksa, tukawa...
  16. R

    Kama hatutasikilizwa kama walivyoziba masikio kwenye sakata la Loliondo na Ngorongoro tunafanyaje?

    Hawa wana tabia ya 'kushupaza shingo' kuwa wacha wapige kelele watanyamaza. Tukifika hapo tunafanyaje Watanganyika? Hili ni muhimu kulijadili sasa vile vile. Mahakama nina wasi wasi nazo kama bado Juma Ibrahim bado yuko ofisini mpaka leo kwa kuvunja katiba wazi wazi!
  17. H

    Sintofahamu zote hizi tuangalie tulipojikwaa ili tusonge mbele kuokoa taifa letu.

    si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
  18. Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Kwa wenye ujuzi wa haya mambo ya madege makubwa tunomba ufafanuzi. Kwenye hii clip kuna dege kubwa linasemekana lina uwezo wa kutua popote. Msaada jamani ili tupate ufahamu. --- Abdulrahman Kinana, akiwa Waziri wa Ulinzi mwaka 1993 alimsindikiza Sheikh Mohammed kama mwakilishi wa serikali ya...
  19. Katibu TEC: Loliondo Watanzania wanateseka hadi sasa

    Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi. Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao...
  20. N

    Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…