Wednesday, 30 December 2015
OBC - Hunters from Dubai and the Threat against 1,500 km2 of Maasai Land in Loliondo
It’s been some time since I wrote a summary about OBC and the 1,500 km2, a lot has happened, and there has been much misinformation, mostly from government and “investors”, but...
Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo,
Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu
Imebainika...
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
Salaamm Wakuu,
Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
Nasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..
Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.
Hakuna kitu GENTAMYCINE nakichukia kama Unafiki na Kuonea Watu hovyo. Sasa nami nasema Kwako Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa ukishaletewa huyo uliyeamuru kuwa akamatwe kwa Kupiga Picha Loliondo tafadhali amrisha pia na Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge na Mchambuzi wa Mpira Oscar Oscar nao...
Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.
Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda...
Asema watu waende wapate kikombe amesema hakuna ugonjwa unaoshindikana kutibika kwa dawa zake alizooteshwa na Mungu.
---
WAKATI Dunia ikiwa kwenye taharuki kubwa ya kupambana na maradhi ya ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona baada ya kuendelea kuua maelfu ya watu duniani...
Wewe Mzee ni miongoni mwa Tunu ya Taifa , una maono makali sana , sisi wajukuu zako tunakutegemea utoe mwongozo wa Sintofahamu iliyopo .
Tunatanguliza Shukrani
Tangia mwezi Desemba nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha ilipanda kutoka 20,000 hadi 25,000.
Mabadiliko haya hayakutangazwa na SUMATRA. Miaka miwili iliyopita nauli ya kutoka Loliondo mto wa mbu kwa bus ilikuwa 17,500 ikaja kubadilika kimya kimya ikawa 20,000 na sasa ni 25,000.
Naomba...
Wafanyakazi 10 raia wa kigeni wenye asili ya Asia wa kasri la mfalme wa Abu dhabi inayosimamiwa na Kampuni ya Ortelo Business Coparation(OBC) iliyopo eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro,Mkoani hapa wamepandishwa kizimbani kwa kosa la kufanyakazi nchini kinyume cha sheria za ajira kwa wageni ...
PROFESA Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii, ameendelea kutoa kauli zinazoidhalilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jeuri hiyo anaitoa wapi? Maghembe, kwa mfano, ametoa kauli dhidi ya raia wa Tanzania wanaoishi katika vijiji vilivyopo tarafa za Loliondo na Sale katika...
Taarifa ya Haraka kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Loliondo
Sisi Viongozi wa Mila, Kisiasa, Wawakilishi wa Wanawake tumesikitishwa sana na Taarifa ya uongo aliyoitoa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu juu ya ukweli wa Mgogoro wa Loliondo. Ifuatayo ni ufafanuzi wa...
Mwarabu wa Dubai anavyong'ang'ania ardhi ya Wamasai Loliondo na anusukuma Serikali hadi serikali inapinda sheria ili kumpendeza na kumtimizia haja yake.
Waziri wa Maliasili amefika Loliondo mara 3 na kila mara anasisitiza kuwa ni lazima serikali itaongea na mwarabu ili ardhi anayotumia sasa...
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema.
Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni?
Je, serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana...
Sijui kama mnanisoma....!
Vyombo vya Usalama kwa sasa ni Dhaifu
Rais wa sasa ni Dhaifu
Bunge Dhaifu kabisa!
Watanzania ni Dhaifu.
Nchi kama haina Amiri Jeshi Mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.