loliondo

  1. BigTall

    Chanzo cha mgogoro wa Loliondo

    Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya kampuni ya utalii ya Thomson Safaris na wananchi wa eneo la Sukenya. Kutokana na migogoro hiyo...
  2. Q

    UN: We call on the Tanzanian Government to immediately halt plans for relocation of the people living in Loliondo

    Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about continuous encroachment on traditional Maasai lands and housing, accompanied by a lack of transparency...
  3. The Supreme Conqueror

    UN yatoa tamko sakata la Loliondo, yataka Tanzania kuondoa maafisa wa Polisi Ngorongoro

    Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
  4. Monica Mgeni

    Mtizamo wa Mchoro wa Katuni kuhusu kinachojiri Loliondo

    Utaona wanyama baada ya kuwekewa Mipaka wanaona mwanga na matumaini makubwa.
  5. J

    IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

    IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
  6. Mmawia

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  7. J

    Loliondo Facts Check: Mshindani wako anapojigeuza mshauri mwema

    MSHINDANI WAKO ANAPOJIGEUZA MSHAURI MWEMA. LOLIONDO FACTS CHECK SIKU Ukiona Mshindani wako katika jambo mnalishindania anakusauri juu ya kufanikiwa kwako kwenye jambo hilo JITAFAKARI SANA Ushauri wake kweli utakuwezesha kumshinda na kulifukia lengo lako?. Namaanisha HIVII, Siku Yanga...
  8. J

    Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA. Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
  9. seedfarm

    Inashangaza Kenya wanalalamika mambo ya Loliondo na wanahojiwa Aljazeera TV. Je, kuna mamluki Loliondo toka Kenya?

    Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo? Loliondo ni Tanzania wao Wakenya wanahojiwa na Aljazeera kuhusu sheria za ardhi Tanzania na wanapotosha kwa lengo gani? Propaganda...
  10. kmbwembwe

    Bila mkataba na kampuni ya uwindaji Ortello kuvunjwa hapatakua na amani Loliondo

    Kampuni ya ortello walipewa eneo la uwindaji loliondo mara ilipoingia awamu ya pili ya mzee ruksa. Baada ya kupewa eneo hilo kampuni hiyo ya UAE yenye wamiliki toka familia ya kifalme tabia yao ikawa kama wamepata koloni. Pamoja na kwamba wameweza kuepa kutajwa na vyombo vya habari kama zamani...
  11. Taifa Digital Forum

    Mwili wa Askari aliyeuawa Loliondo kwa mshale, waagwa na kusafirishwa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemtaka aliyehusika na mauaji ya Askari Polisi kwa kutumia mshale wakati wa uwekaji wa mpaka Loliondo Mkoani humo ajisalimishe. Amesema hayo leo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Garlus Mwita, ambao umepelekwa kwao Musoma Mkoani Mara.
  12. Blood of Jesus

    Maadui wa Taifa: Kuna watu kwa makusudi kabisa wanapotosha juu ya mgogoro wa Loliondo na hifadhi ya Ngorongoro

    Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe. Ngorongoro bado...
  13. J

    Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

    Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi. Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai. Wamasai hao...
  14. J

    MONGELA: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya Vurugu kutokea Loliondo

    TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo "Kauli ya Waziri Mkuu...
  15. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Serikali Iunde Tume Shirikishi Kuchunguza Mapigano ya Loliondo

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU SERIKALI KUINGIZA ARDHI YA VIJIJI 14 LOLIONDO, WILAYANI NGORONGORO, KWENYE HIFADHI JUNE 12, 2022 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari Ijumaa ya tarehe 10 Juni, 2022 ACT Wazalendo kupitia Msemaji wa Sekta ya...
  16. J

    ITV wame suggest wanaopotosha suala la Loliondo wapewe kesi ya uhujumu Uchumi...

    ITV baada ya kutokea sekeseke la Loliondoa waliuliza swali kwenye kipima joto kuwa "wanaopotosha" suala la utiaji mipaka Loliondo wapewe kesi ya uhujumu uchumi..?🤣🤣 Hivi jamani hata tuki assume ni kweli wanapotosha, wapewe kesi ya uhujumu uchumi? Hii kesi si haina dhamana? ITV ombeni radhi
  17. Mwande na Mndewa

    Historia ni mwalimu: Augustino Mrema alivyowika na Kashfa ya Loliondo uchaguzi mkuu wa mwaka 1995

    HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995. Leo 10:15 hrs 12/06/2022 Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa...
  18. Monica Mgeni

    Ushuhuda wa Madaktari kuhusu Majeruhi wa Loliondo

  19. M

    Yuko wapi Mohamed Ndolanga? Alishiriki kuuza ardhi ya Loliondo kwa mwarabu kipindi cha utawala wa Mwinyi. Damu ya wamasai ipo naye

    Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu 👇
  20. Nyankurungu2020

    Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

    Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi? Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka? Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema. Mkuu wa nchi anashiriki...
Back
Top Bottom