Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo.
Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake.
Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu...