Kuna siku tulitembelewa na baharia ambaye ameishi pakistan,india,ufaransa na kwa sasa anaishi canada na hizo nchi zote kuangaika kwake ametumia mda mrefu tokea akiwa kijana katika safari ya kufikia nchini canada.
Ila kilichonielewesha ni rahisi sana mtu kuelewa lugha za watu ukiwepo sababu...