Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni Mama wa Kiswahili.
Tulimushuhudia Rais wa awamu ya Tano akitumia kila jitihada za kukuza na kueneza...
Huko nyuma, wale watu waliokutwa na virusi vyenye kusababisha ukimwi au ubakwaji, walikuwa wanaitwa waathirka (victims). Lakini kadri muda unavyoenda imegundulika hizi ni lugha zenye kurudisha watu nyuma na wengine mpaka sasa hivi wanaitwa survivors.
Bahati mbaya wanasiasa wa chama hiki tawala...
Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote .
Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu.
Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
Salaam!
Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato.
Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake.
Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
Hapo vip!!
Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
Hili swali huwa linanishangaza sana! Muhindi ana zaidi hata ya miaka 30 au amezaliwa na kuzeekea hapa ila kuongea kiswahili kwa ufasaha ni shida kubwa.
Ila wazungu wanaokuja kwenye miradi au shughuli zingine kwa miaka mitano tu eneo analofanyia kazi ataijua lugha hiyo kwa muda mfupi, hata kama...
Tatizo la lugha linaendana na uwezo wa kiuchumi na ukubwa wa idadi ya watu wanaozungumza lugha husika.
Tanzania tumeanza kupigania lugha ya Kiswahili itambulike Duniani lakini tunapaswa kujiuliza tatizo ni lugha au tatizo ni kukuza uchumi?
China wapo wengi lakini maamuzi na mikataba au sheria...
Kumekuwa na hoja miongoni mwetu Watanzania kuhusu matumizi ya lugha za kigeni hasa Kiingereza kutumika kama kipimo cha mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili. Je, hoja hii ikoje? na ina ukweli kiasi gani?
HOJA NAZOWAZA ZITHIBITISHE KWAMBA KUJUA KIINGEREZA SIO KUWA NA AKILI NI KAMA IFUATAVO:
- Lugha...
Rejea kichwa cha habari juu.
Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
Habari zenu wadau,
Hapa mkoa wa Mwanza Shule ya Msingi Nyanza imeabadilishwa kuwa ya English medium. Ni moja ya shule za msingi kongwe hapa mjini alizoacha mkoloni mana nikipitaga hapo nje imeandikwa 1948. Mwenyewe kuna muda nikiwa primary nilikuwa naendapo kufanya mitihani ile std 7 ya...
TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa.
Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri.
===
10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
Habari Wanajamii,
Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'....
Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha...
Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini.
kwa mfano Ugali
Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.