Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021.
Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
Salaam Wana JF,
Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili.
Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani,
Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile biashara, masomo , mahusiano , dini n.k
Basi tuwasiliane PM,
Masomo Yetu yako kwa njia ya WhatsApp na...
Nimeisikiliza nyimbo ya Huyu jamaa inaitwa TSENA na nilichoshangaa ni kwamba humo ndani kuna Maneno ambayo yanafanana na kiswahili na baada ya uchunguzi wangu mdogo nikagundua jamaa anaongea Lugha inayoitwa Shimaore ambayo asili yake ni lugha ya Kiswahili.
Enjoy
Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi.
Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili.
Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili.
Watumiaji wengi wa...
Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa!
Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya?
Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu
mfano;
We "bitozi' tu
Huyu jamaa ni "joblesi"
"poa"
"Kompyuta"
Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha.
Tuendelee.
Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video mbili part 1 inayohusu jinsi ya kutafsiri hardcopy na part 2 inayohusu kutafsiri softcopy kwa Tshs...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa.
Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo,
Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
Huwa tunatumia sana hili neno katika mchezo wa mpira tukimaanisha (TIMU MBILI MASHUHURI ZA MJI MMOJA ZIKIKUTANA NA KUCHEZA PAMOJA) ndo tuna sema DERBY.
Sasa hili neno DERBY tumelizoea sana kanakwamba watu wengi wanaliona kama ni neno la Kiswahili kumbe Kiingereza.Msaada kwa anaejua kuliweka...
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania, eti;
Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili?
MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR...
Wauguzi na Wakunga wametakiwa kuwasimamia wauguzi na wakunga watarajali (interns) waliopo mafunzoni kwa vitendo na kuhakikisha wanafundishwa vizuri ili kuweza kutoa huduma bora kwa wagonjwa.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha...
Nimemsikiliza Katibu ya Tume ya Uchaguzi NEC Mr. Kawishe akihojiwa na Channel 10.
Huyu jamaa anazijua Sheria za NEC na moja ya sheria hizo ni kutumia lugha ya Kiswahili kama official language kwene Kampeni na mtu akitumia lugha zingine kama KABILA FULANI anakuwa amekiuka Maadili na anatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.