lugha

  1. Pascal Mayalla

    Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  2. TDSF

    Taarifa Kuhusu Coronavirus #COVID-19 Kwa Lugha ya Alama ya Tanzania (LAT)

    Habari! Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
  3. F

    Hivi kiswahili sahihi ni osha mikono au nawa mikono? Naona kama tunakosea lugha

    Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno Oga. Kwa nguo tunatumia neno Fua. Wadau naomba mnitoe matongotongo kwa wale wajuvi wa lugha adhimu...
  4. Qj_

    Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    Somo la kwanza. (haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu) Hujambo nĭ hăo 你好 Habari ya asubuhi zăo shang hăo 早上好 Habari ya mchana xià wŭ hăo 下午好 Habari ya jioni wăn shàng hăo 晚上好 Usiku mwema wăn shàng hăo 晚上好 Jina lako ni nani? nĭ de míng zi shì shén me 你的名字是什么? Jina langu...
  5. S

    Hivi "COVID-19", ni neno la kingereza au ni lugha ya kitaalamu?

    Kuna mtu(kiongozi) nimemsikia akisema covid-19 ni term(neno) la kingereza. Swali :neno hili ni neno la kingereza au hii ni lugha ya kitaalamu inayotumika ku-name virusi wa corona? Tusaidiane.
  6. Ryamalungu

    Vitabu vya lugha ya Kiswahili

    Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
  7. M

    Ushauri: Serikali ya awamu ya 5 ijifunze kutumia lugha ya kidiplomasia!! Ubabe haujengi, unabomoa

    Kwa muda sasa tangu serikali ya awamu ya Tano ilipoingia madarakani, kumekuwa matumizi ya lugha ambayo inaakisi uelewa mdogo wa diplomasia ya kimataifa na diplomasia ya kiuchumi ukilingamisha na utawala wa Mzee Jakaya. Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wamekuwa wakitumia maneno yasiyofaa...
  8. D

    Bima ya afya ni nini?

    Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu madhumuni ya mifuko ya Bima ya Afya na jinsi inavyotenda kazi. Kukosa elimu hii huongeza malalamiko kuhusu uchangiaji na kujiunga na mifuko husika. Mimi kama mtanzania niliyebahatika kupata elimu ndogo nimewiwa kutengeneza thread hii kwa nia ya...
  9. Mwl.RCT

    Video: Je “Bongo Movie” zinamchango gani katika kukuza lugha ya Kiswahili na utamaduni?

    Chanzo: BBC
  10. Kidagaa kimemwozea

    Pendekezo: Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ngazi zote za elimu, ili tukomboke kifikra

    Huu ndio wakati wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini Pamoja na Kiswahili kupitishwa na Sera ya elimu mwaka 2014 bado hakijaanza kutumika kufundishia masomo katika elimu ya upili na elimu ya juu. Sera ya Elimu ya mwaka 2014 inasema Kiswahili pamoja...
  11. kimpango

    Jifunze lugha yoyote duniani bure ujiongezee thamani katika soko la ajira na ushindani dunia ya sasa

    kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika kujifunza lugha mbalmbali bure huku ukifurahia .. kupitia LINK : Learn a language for free
  12. MzeeMpya

    Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

    Wapenzi wa lugha ya Kifaransa. Naamini JamiiForums ni jukwaa kubwa la wabobezi na wa Somi wa fani nyingi. Kwa hiyo Kila mdau ni mwalimu ajae na Mwanafunzi wa leo. Michango yetu ijikite ndani ya mada kuliko nje ya mada ili tupate faida sote. Karibuni. UKUMBUSHO WA LEO A-)Anza: NA...
  13. Manton

    Lima Emilala: Jina la mwaka 2020 katika lugha ya Kihaya

    Nakusalimu katika lugha ya kiungwana sana,lugha asilia isiyo na chembe chembe za utumwa wala ubaguzi. 'Abawe naiwe mugumile?' maana yake 'wote hamjambo?' Jibu hivi; 'tugumile chwena!' yaani umejibu "sote hatujambo!" Baada ya salamu tuelekeze fikra zetu katika kichwa cha uzi huu, kisemacho...
  14. Charles Gerald

    Tujikumbushe nahau na methali za lugha ya kisukuma

    Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine anatoa jibu. Naona kulingana na mabadiliko mbalimbali watoto wetu na uhakika kwa asilimia zote hawazijui...
  15. Richard

    Ubalozi wa Tanzania Uingereza walalamikiwa kwa kutopokea simu, huduma duni kutoka kwa wageni watarajiwa, je wahusika wanakwepa lugha ya kiingereza?

    Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni. Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
  16. Gily Gru

    Misimu ndani ya JamiiForums

    Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha. Tafiti zimebaini kuwa mitandao ya kijamii imekuwa na...
  17. authjeremmy

    Mfumo wa Matumizi ya Tarakilishi (Operating System) kwa Lugha ya Kiswahili

    Salamu kwenu wote. Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi (Operating System) kwa lugha ya Kiswahili. Wengine wenu mnaweza kuwa mnafahamu uwepo wa kilinux...
  18. Miss Zomboko

    Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  19. Miss Zomboko

    UDSM kuanza kutoa mitihani ya kimataifa ya Kiswahili ili kuikuza lugha hiyo duniani

    Na Ezekiel Mtonyole, Dodoma. Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kinataraji kuanza kutoa Mitihani ya Kimataifa ya Ujuzi wa Lugha ya Kiswahili kwa lengo la kuhakikisha lugha ya kiswahili inakuwa zaidi Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
Back
Top Bottom