Kwa jinsi alivyo-handle issue ya kijana yule wa Koromije kipindi kile, inaonyesha ni mtu asiekubali kushindwa au kusema akae kimya jambo lipite hasa iwapo ana taarifa au ushahidi wa kutosha kuhusu jambo husika.
Kwa msingi huo, kama kuna figisu zilifanyika kumbeba mtoto wa dada,basi nina uhakika...
Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati...
Habari zenu wanabodi,
Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza
1. Olympio - Dar Es Salaam
2. Diamond - Dar Es Salaam
3. Magufuli -...
Kwa wanasaikolojia na wengine wote ambao mnapenda kudadisi mambo. Kwa kawaida ili mtu aweze kufikiria, lazima tumie lugha, na lazima iwe ni lugha anayoijua, kwa sababu kwa maana nyingine, kufikiria ni sawa na kuongea mwenyewe kimyakimya, na mtu hawezi kuongea kwa kutumia lugha ambayo haijui! Kwa...
Jana nilikwenda kulipa kodi za biashara za Wazazi wangu ili kupata clearance na leseni kwenye ofisi niliyoitaja ila nilichokutana nacho kilinifedhehesha sana.
Niweke wazi kuwa ofisi hiyo ina wahudumu wazuri sana na wanaosali wateja ila huyu Dada niliyekutana naye alinikera sana kwa lugha yake...
Hakika ule msemo wa pesa sabuni ya roho umejidhihirisha baada ya Bilionea Laizer kupongezwa kimasai na Benki ya NMB wakionyesha heshima kubwa kwake.
Pata pesa benki zikufate popote ulipo tena kwa kutumia lugha yako.
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:
"A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi...
Mkurugenzi wa TBC Dkt. Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni.
Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia maadili ya viongozi.
Kadhalika Dr Ryoba amesema atakuwa na kikao na viongozi wa vyama vya siasa ili...
Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni:
Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba.
Pili wanaozungumza Kiswahili...
Kwa muda mrefu kumekua na makelele mengi ya kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki. Bila shaka Tanzania inaongoza katika hizo harakati.
Pamoja na makelele hayo, jitihada zinazofanyika ni ndogo kulinganisha na kile kinachopaswa kufanyika. Tuanzie Tanzania. Lugha yetu ya...
'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram.
Technically hii series wanajitahidi. Hapa ninaongelea rangi ya picha, mwanga, namna shots na scene...
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili.
Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa.
Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
Je, Kiswahili kinakaribiana na lugha yako vipi ?
Kwa lugha yetu (Ki-embu/Ki-Kuyu)..
Maneno ya kawaida
Mtu - Mundu
Kiti - Giti
Meza - Metha
Kijiko - Giciko
Kitanda - Gitanda
Nyumba - Nyumba
Viatu - Iratu
Maji - Mai
Sentensi
Kuja hapa - uka ava/Uka haha
Maneno ya lugha yenu ya Ki-Bantu...
"Kwanini uliachana na 'ingiza jina'?"...
"Ah tulikuwa hatuendani tu"
Ushawahi kujikuta kwenye scenario hiyo?
Unaweza kumfanyia mpenzi wako kila jambo uonalo ni jema kwake na bado akakuacha au akatoka nje ya penzi lenu(cheating). Unabaki kusema "Nilikuwa nampa pesa, zawadi, na kumhakikishia...
wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa.
Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
Habari wakuu
Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande...
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.
Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.