Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha kuuza umeme kwa sababu waliokuja kununua umeme leo hawakupata vikaratsi 3 kama Tanesco ilivyotangaza...