luku

The pluriarc, also called paata, mapu, luku, kissanga, and bow lute is a stringed musical instrument of West Africa, classified as a type of lute. It has a hollow body and several curved, pliable necks made of reeds. The strings stretch from the necks to the bridge, which stands approximately 1.5 inches (38 mm) above the body. The body may be round, rectangular, or triangular, and is usually made of light wood. The top of the body can either be a separate board, bound or nailed to the lower part, or made from the same piece of wood as the rest. A hole may exist on the underside that can be opened or closed to change the timbre.It is played by plucking the strings, which are usually open but sometimes contain a stop. The strings may be plucked with fingers or a plectrum. The flexible nature of the necks means the instrument cannot be tuned precisely.Pluriarc designs have been characterized into three types by country of origin: those of southwestern Africa, central west Africa, and western Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ukistaajabu tozo za miamala kuna na hili la Kodi ya Jengo kulipwa kutumia LUKU

    Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi. Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
  2. mmh

    Luku hainunuliki tena leo

    Kwa mshangao mkubwa leo tena luku hainunuliki kwa niamala ya simu, kwa nn tatizo hili linahirudia mara kwa mara? wapoti Kalemani kuna watu wanakutengenezea namna zinduka.
  3. Kasomi

    Upande wa pili wa Matumizi ya Meter Box

    Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme. Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo Jinsi...
  4. Analogia Malenga

    Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

    Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika. Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela...
  5. T

    Huduma ya LUKU imepotea tena, hatuwezi kununua umeme

    Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa...
  6. Abraham Lincolnn

    Rais ajiuzulu, huduma ya kununua LUKU imekwama tena leo Juni 20, 2021

    Kwakweli sijawahi kupata hasara katika biashara zangu kama hizi ninazopata tangu awamu hii iingie madarakani! Leo mimefungua saluni kama kawaida siku ya jumapili wateja ni wengi.Haraka nikasema ninunue umeme niwahudumie lakini nimejaribu zaidi ya mara 10 imeshindikana! Kwakweli pamoja na kuwa...
  7. Shoctopus

    Kulazimisha kulipa bili ya umeme wa Luku pamoja na kodi ya jengo ni kiroja

    Asalam-alaekoum Wana-JF! Kama wapo wataalamu wa sheria na haki za binadamu humu ninapenda wanisaidie kudadavua mada ya hapo juu. Simu yako kwanza ni chombo chako cha mawasiliano binafsi. Pili unaponunua line yako ya simu unaingia mkataba na kampuni husika kwamba hatatumia line yako kwa...
  8. B

    Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

    Leo Jpili tangu asubuhi nimejaribu kununua umeme via Mpesa na Simbanking (CRDB) lakini hakuna kitu. Mpesa wamekata kabisa pesa lakini hakuna token iliyokuja.
  9. Erythrocyte

    Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  10. Wakusoma 12

    Kukata kodi ya jengo kwenye LUKU, watakaokuwa walipaji wakuu ni wapangaji na si wamiliki tena

    Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki. Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni...
  11. JF Member

    BodaBoda wamepunguziwa adhabu ya Trafiki, wanakutana nayo kwenye LUKU

    Nimesikitika kidogo hapa. Naamini wabunge watatupambania. Kama LUKU zitakuwa na Kodi ya Majengo basi ghalama za Maisha zitapanda mara dufu. Kinyozi lazima apandishe bei, wauza vinywa vya baridi, Wachomelea vyuma n.k. Kubwa ni pale ambapo LUKU emebebeshwa zigo la Kodi ya Nyumba. Kuanzia mpangaji...
  12. D

    Ushauri: TANESCO wapeni kipaumbele kwanza waliolipia Tsh 300,000 waishe kabla ya kuanza kufungia LUKU wale wa Tsh. 27,000/=

    Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake. Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa. Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
  13. Replica

    Tatizo la mfumo wa Luku, Mbunge Kingu ahisi ilikuwa ni 'Sabotage' kwa Serikali

    Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa upande wake alihisi ni 'Sabotage' kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi. Amempongeza Waziri kwa...
  14. Upepo wa Pesa

    Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye ELIMU BORA NA TEKNOLOJIA (Tatizo la LUKU, Wavaa miwani ya tinted mpo?)

    Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!! Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
  15. TheDreamer Thebeliever

    Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

    Habari wadau! Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia...
  16. Kasomi

    Ununuzi wa umeme kwa LUKU warejea

    Habari wakuu kutokana na kuwepo kwa tatizo la ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku lililo tokea kuanzia tarehe 17/05/2021. Shirika la umeme TANESCO limesema sasa huduma ya ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku imerejea Tanzania nzima hivyo kwa sasa unaweza Nunua umeme kwa njia zote za awali yaani...
  17. Analogia Malenga

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  18. Influenza

    Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

    Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja. Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini. == Waziri...
  19. wa stendi

    Mita ya TANESCO na ununuaji wa Luku

    Ukifunga mita ya TANESCO hii ya Luku kwa mfano mita nimefunga mbezi, alafu nikahama Mbezi na mita yangu nikahamia labda magomeni na hiyo mita, nimesikie eti ni hadi nikahamishe location ya mita ili niweze kununulia umeme sehemu niliohamia bila hivyo siwezi pata hiyo huduma kwa hapo...
  20. P

    Je, mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?

    Wakuu Sote tunajua jinsi ya kununua umeme wa luku. Swali hili liliwahi kujadiliwa sehemu sina hakika ni wapi, lakini je zile vocha unazo nunua na kwenda kuingiza kwenye LUKU inakuwaje? Je, LUKU zinawasiliana na server za TANESCO kujua kiasi cha units ulizo nunua kama unavyoingiza vocha ya simu?
Back
Top Bottom