luku

The pluriarc, also called paata, mapu, luku, kissanga, and bow lute is a stringed musical instrument of West Africa, classified as a type of lute. It has a hollow body and several curved, pliable necks made of reeds. The strings stretch from the necks to the bridge, which stands approximately 1.5 inches (38 mm) above the body. The body may be round, rectangular, or triangular, and is usually made of light wood. The top of the body can either be a separate board, bound or nailed to the lower part, or made from the same piece of wood as the rest. A hole may exist on the underside that can be opened or closed to change the timbre.It is played by plucking the strings, which are usually open but sometimes contain a stop. The strings may be plucked with fingers or a plectrum. The flexible nature of the necks means the instrument cannot be tuned precisely.Pluriarc designs have been characterized into three types by country of origin: those of southwestern Africa, central west Africa, and western Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Jipatie jiko la gesi la kulipia kidogo kidogo kama luku kuanzia sh 1000

    Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea. Unalipia...
  2. K

    Msaada: Kuibiwa kwa mita za LUKU na kadi zake

    Nimeibiwa mita za LUKU na kadi zake na nina uhakika zinatumika somewhere. Nitafanyaje kupata namba na mahali zinakotumika kwa sasa?
  3. BARD AI

    TANESCO kufanya matengenezo ya Mfumo wa LUKU, huduma haitopatikana kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi Sept. 12-15

    Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi. Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu Septemba 12 hadi 15, 2022 na wateja wataweza kununua Umeme muda wote isipokuwa kuanzia saa 4 usiku...
  4. Lexus SUV

    Nimenunua luku unit 0.5KWH kwa shilingi 1200/=, picha inaeleza

    Dah, haya ni majanga aisee, kwa kutumia tigo pesa muda huu nimenunua unit 0.5KWH kwa 1,200/ aisee. Hivi hii ni shida gani tena?! Sms ya mwisho inaelezea ufisadi huo wa unit 0.5KWH kwa shilling 1200 aisee, sina jinsi najiuliza tatizo nini?
  5. saidoo25

    Nini kimejificha nyuma kuahirisha matengenezo ya mfumo wa Luku?

    Jioni ya leo Agosti 17,2022 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa tangazo la kuahirisha zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo asubuhi. Tangazo la awali lilisema Tanesco kuzima mfumo wa kununua Luku kwa siku 4 kuanzia Agosti 22 hadi 25 kuanzia...
  6. MSAGA SUMU

    TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

    Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita. TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine...
  7. Donnie Charlie

    TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

    Dar es Salaam. Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya LUKU kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku. Meneja Mwandamizi wa Tehama katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Cliff Maregeli...
  8. Cannabis

    TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  9. stineriga

    Mfumo wa luku unasumbua Tanesco kimya

    Zaidi ya mara nimejaribu kununua bila mafanikio. Tanesco wapo kimya.
  10. George Betram

    Tatizo la mita ya umeme na rimoti kutokuwa na mawasiliano (LUKU)

    Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302. Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza. Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari. TANESCO
  11. K

    Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu LUKU

    Leo tarehe 23/12/2021 nimenunua umeme was Tshs 15,000/=, nimeambulia Units 39.3 KWH! Ni sahihi au kuna tatizo sehemu?
  12. I wish i have

    Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

    Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Mhe. Makamba amesema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa ngazi ya Kanda, Mikoa, Wilaya...
  13. M

    Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

    Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
  14. P

    Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  15. Candela

    Unaponunua umeme ukapewa Token na Units, ukiziingiza kwenye mita inajuaje kuwa hizo token ni unit kadhaa?

    Habari wadau. Mi nataka kujua jambo moja silielewi kabisa. Nimejaribu kufatilia nyuzi kadhaa humu jf lakini patupu, hakuna maelezo kamili. Ipo hivi, unaponunua umeme ukapewa Token na Units, ukiziingiza kwenye mita i ajuaje kuwa hizo token ni unit kadhaa. Maana watu wanasema hizi mita hazina...
  16. Peramiho yetu

    Tozo ya majengo inayolipwa kupitia Luku inakatwa kila mwezi au kila ukinunua umeme?

    Wakuu habari za jioni kwa mashabiki wa biashara United timu Bado haijatoka hadi mda huu kwenda Djibouti. Niende kwenye mada kuu naomba kuuliza wakuu mnisaidie juu hili tuliambiwa kodi hii itakuwa inakatwa kila mwezi lakn maajabu Leo nimenunua umeme naona inakatwa tena hii kodi Au n Mimi...
  17. Prof Koboko

    Mliwashirikisha wananchi kuhusu Tozo kabla ya kuwakata?

    Tumefikia hatua ambayo serikali unalazimishwa wananchi kufanya itakacho, yaani mnaandaa mswada wa sheria kimya kimya kisha mnaupeleka bungeni kwakua mnajua udhaifu wa lile bunge inapitishwa mkaanza kuwalima Tozo wananchi bila ridhaa yao, huu ni uonevu uliokubuhu. Wananchi sasa hawana maamuzi...
  18. mulwanaka

    Kibonzo: Kweli tozo za miamala huenda ni kazi bure?

    Ukiangalia kwa makini kibonzo cha Masoud kipanya unafikilia mengi, nikama kodi zote zinazo umiza wana nchi, hazitafaidi nchi hi paka pale watakapo ziba matundu yanao vujisha maji. Wewe umeelewaje hili litakua na ukweli wowote
  19. M

    Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
  20. Z

    Malalamiko ya Tozo za miamala na kodi za majengo kupitia Luku yamepungua, safi sana

    Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu Hii imetokana na watanzania...
Back
Top Bottom