luku

The pluriarc, also called paata, mapu, luku, kissanga, and bow lute is a stringed musical instrument of West Africa, classified as a type of lute. It has a hollow body and several curved, pliable necks made of reeds. The strings stretch from the necks to the bridge, which stands approximately 1.5 inches (38 mm) above the body. The body may be round, rectangular, or triangular, and is usually made of light wood. The top of the body can either be a separate board, bound or nailed to the lower part, or made from the same piece of wood as the rest. A hole may exist on the underside that can be opened or closed to change the timbre.It is played by plucking the strings, which are usually open but sometimes contain a stop. The strings may be plucked with fingers or a plectrum. The flexible nature of the necks means the instrument cannot be tuned precisely.Pluriarc designs have been characterized into three types by country of origin: those of southwestern Africa, central west Africa, and western Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  2. From Sir With Love

    Usitume mchanganuo wa malipo yako ya LUKU hapa jamvini kama hutaki kujulikana kirahisi

    Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato. Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila...
  3. Kasomi

    TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami. Rejea hapa. LUKU 37212843355 990022123320138178 1.5KWH 0029 2493 0496 3524 7260 Cost 409.84 VAT 18% 73.77 EWURA 1% 4.10 REA 3% 12.29 Debt Collected 4,500.00 TOTAL 5,000.00 Kweli Umeme...
  4. Jeremiah Stephin

    Usilalamikie kodi kwa Luku, imekuwepo kwa muda mrefu na tumekuwa tukiilipa kila mwaka

    [emoji117]Ila kuhusu kodi ya majengo kuna watu wanalalamika bure tu, Kodi hii ipo kwa muda mrefu na tumekuwa tukilipa kila mwaka kilicho fanyika ni serikali kuongeza wigo wa kuipata hiyo pesa maana kuna watu wengi sana wanakwepa kulipia kodi hii ya majengo [emoji117]So kuilipa kwa kutumia Luku...
  5. Stevenbee

    Kodi ya Jengo: Mbona nakatwa kiwango cha juu sana?

    Alafu siishi gorofani daah tutafika kwel?
  6. Zero Competition

    Makato ya kodi ya majengo kupitia LUKU hayana tofauti na 'service charge' ya kila mwezi

    Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style. Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
  7. kwenda21

    Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

    Tulipeni Kisha wenye nyumba tukaeni chini nao tuzungumze,wakate kwenye usafi na vitu vya usafi
  8. Greatest Of All Time

    Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

    Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani. Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
  9. yello masai

    Kodi ya Jengo au Kodi ya Mita ya LUKU?

    Binafsi sina jengo, ila kuna sehemu nimeweka umeme kwa ajili ya kazi zangu. Lakini sio kwenye jengo maana kazi hii nafanya sehemu ya wazi. Sasa bwana leo nikasema ngoja ninunue umeme wa 2,200 nione kama nitakatwa kodi ya jengo wakati sina jengo. Sijaamini kilichotokea, umeme wa 2,200...
  10. S

    Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Ameandika Evans Rubara I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.
  11. Hismastersvoice

    Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  12. BestOfMyKind

    Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  13. Miss Zomboko

    Kodi mpya ya Majengo kupitia LUKU inatakiwa kulipwa na Mmiliki wa Jengo na sio Wapangaji wa Jengo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa kodi ya majengo kwa njia ya ununuzi wa umeme ambayo itaanza kutumika Agosti 20, 2021 inatakiwa kulipwa na wamiliki wa majengo na sio wapangaji kwenye majengo hayo. Hayo yameelezwa na Lazaro Lucas katika mahojiano na Shirika la Utangazaji la Taifa...
  14. P

    TRA na TANESCO wanajua kwamba Nyumba ni chache kuliko idadi ya mita za Luku?

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia Na pia ninahakika, Sheria...
  15. mshale21

    Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

    Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne: 1. VAT - 18% 2. Ewura - 3% 3. REA - 1% 4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000) Awamu ya sita, tozo ziendelee!
  16. N

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  17. Superbug

    Kununua Luku inasema mita namba haipo

    Luku tanesco vipi mmeanza zengwe Tena mbona nanunua umeme inakataa inasema mita namba haipo? Natumia tigo.
  18. tpaul

    Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

    Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
  19. N

    Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  20. TheForgotten Genious

    SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Back
Top Bottom