lumumba

  1. Citizen B

    Naombeni kazi Lumumba

    Sifa zangu: Ni kijana mwenye uwezo wa kukesha nasifu Na kuabudu bila kuchoka. Naweza kubadilisha nyeusi Kuwa nyeupe. Ni muongo Sana Na naweza kudanganya bila kupepesa macho Nina uwezo wa kutunga propaganda Za akili Na maganda yake. Naambatanisha kielelezo kimoja. Wako mtiifu.
  2. M

    Maisha yanakwenda kasi sana. Juzi tu Polepole alikuwa kidume hapo Lumumba

    Nikifikiria jinsi Mzee wa mavieite alivyokuwa na madharau na jinsi alivyokuwa anawapiga mkwara viongozi waandamizi wa CCM lakini leo hii naye anapigwa mkwara na Chongolo nabaki kujisemea tu dunia inazunguka. Vijana ishini na watu wote kwa heshima na adabu, hakuna aijuae kesho yake. Polepole...
  3. T

    Kwanini Profesa Lumumba alikuwa akimsifia Hayati Rais Magufuli?

    Na Thadei Ole Mushi. Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki...
  4. S

    Katibu wa Itikadi CCM, Shaka kwa Wasira: Nitaendelea kujifunza ili niwe bora zaidi

    LUMUMBA DAR ES SAALAM Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo 25 Mei 2021 ametembelewa na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya Taifa Ndg Steven Masato Wasira katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam...
  5. K

    PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

    Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
  6. B

    Alichokisema Prof. PLO Lumumba kisichopendeka Lumumba

    Mabibi na mabwana hapa chini ni yote aliyoyasema Prof. Lumumba: Ni wazi kuwa Prof. PLO Lumumba kama wakili nguli alijiandaa kweri kweri kumtetea mteja wake vilivyo. Hata hivyo, katika haya yafuatayo wanalumumba wanayafumbia macho kana kwamba hawakuyaona wala kuyasikia: 1. Lumumba...
  7. B

    Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

    Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana. Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo hayo. Kilichotokea katika mazungumzo haya ya nia njema kama yalivyokuwa, Lissu aliongea kwanza na...
  8. S

    PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

    Katika mahojiano ya Jana VOA -Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020? -Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi? -Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya...
  9. Nyankurungu2020

    PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  10. J

    PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia. Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
  11. Erythrocyte

    Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  12. N'yadikwa

    PLO Lumumba: Wazungu wanaichukulia Afrika kama Zoo. Hawajali utu wa watu wa Afrika

    PLO Lumumba ambae ni Mwanaumajimui maarufu wa Afrika anasema wazungu wanatumia jitihada kubwa kutunza Ndovu,Sokwe, Chui na wanyama wengine ambao wamo kwenye mapori ya Afrika ili wapate mahala pa kuja kupumzika lakini hawajali lolote kuhusu maslahi ya Afrika. Anasema hivi karibuni watatuzuia...
  13. Behaviourist

    Video: Maombi ya kudhibiti Corona bila ya kufuata taratibu na kanuni za Sayansi za kupambana na Corona ni ushirikina-Profesa Lumumba

    Profesa amekumbuka shuka kukiwa kumekucha! Wajanja walishajua kuwa kitendo chako cha kumshobokea bwana yule bila tafiti ni ulipigwa!
  14. Tony254

    Rais Magufuli, Rais Kenyatta na Professor Lumumba wafanya kikao

  15. S

    Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  16. Replica

    Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

    Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichoketi jana mjini Dodoma, kuwa nami.. ======= Polepole: Sisi kama chama mapinduzi tunawaahidi...
  17. Dam55

    Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

    Hizi ndio Salam za pongezi kutoka kwa Prof. Lumumba. Imani yake bado ni kubwa kwa Rais Magufuli
  18. J

    Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

    Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm. Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa. Source Watetezi tv Maendeleo hayana vyama!
  19. MakinikiA

    Mahakama ya Ubelgiji yasema jino la shujaa Lumumba wa DRC linapaswa kurudishwa

    Patrice Lumumba aliuawa 1961 Mahakama mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo ikiitwa Congo Patrice Lumumba linapaswa kurejeshwa kwa familia yao, vyombo vya habari nchini Ubelgiji vimeripoti. Lumumba aliyekuwa waziri...
  20. Venus Star

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

    Published on Aug 17, 2020 Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
Back
Top Bottom