Zipo sababu nyingi ambazo ningeorodhesha zote huenda vidole vingeuma kwa ku type ila kwa leo nataka niwatajie sababu chache tu, kwanini naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba.
Mgombea wangu anaendelea kutandika reli yakisasa SGR, hivi mmeona lile jengo la stesheni makao makuu Dar, lile lenye...
Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu...
Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.
Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CCM ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa.
Wenyewe wanasema eti "10 Yatosha"...
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli...
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao...
LWAKATALE, SILINDE NA WENZAO WAMEONEWA SANA NA KUDHALILISHWA SANA
Sitaki kujadili juu ya uhalalia ua kutokuwa halali kwenda au kutokwenda Bungeni hili lingeitimishwa na sheria na Miongozo ya CHADEMA kama ingefuatwa wakati wa kuhitimisha jambo lenyewe. Mimi nitajikita kwenye sheria na kanuni...
Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm.
Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee.
Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema...
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.
Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.
Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.
Maendeleo hayana vyama!
Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde.
Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
Licha ya sababu mbalimbali za kiuchumi na kisiasa zilizofanya nchi yetu kuanzisha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza kufanyika 1995 lakini bado CCM ni tumaini pekee la watanzania. Kuanzia uchaguzi wa 1995 mpaka wa mwaka 2015, CCM imekuwa ikishinda na ushindi wa kishindo...
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.
Andamana nami...
Ndug wana Jf nimeileta Mada hii kusudi tuweze kuchambua, kwa kina kuhusu elimu zitolewazo shuleni na vyuoni ni kwa kiwango gani kinawasaidia wanafunzi kuwa na uwezo binafsi wa kufikiri na kuweza kkuchambua na kutatua changamoto mbalimbali wanazokutana Nazo katika maisha yao ya kila siku.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.