m23

  1. MBOKA NA NGAI

    M23 yaitia doa, dosari na hasara Afrika Kusini

    Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC, Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika kuwa,wanajeshi wake wakijisikia kutembea mjini Goma,wanaruhusiwa,ila, bila silaha. Changamoto kubwa upande...
  2. MBOKA NA NGAI

    DRC yaombwa kuiomba maongezi M23 kwa maandishi

    Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
  3. MBOKA NA NGAI

    Kikao baina ya DRC na M23

    Hii ni tarehe 18 March, 2025 huko Angola. Serikali ya DRC ina wafungwa wengi wa AFC/M23. Ombi la kwanza la hawa viumbe, ni kuhakikisha wanaachiwa huru kabla ya mazungumzo. Nani ana tiketi ya mazungumzo sasa!!!
  4. MBOKA NA NGAI

    Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

    Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba. Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
  5. Marie Antoinette

    M23 igiye guhurira na Leta ya RDC mu biganiro i Luanda

    Perezidansi ya Repubulika ya Angola yatangaje ko nyuma y’uruzinduko ruto Perezida wa Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, Félix Tshisekedi, yagiriye i Luanda, hemejwe ko Angola, nk’umuhuza mu bibazo byo mu burasirazuba bwa RDC, izayobora ibiganiro bizahuza abahagarariye umutwe wa M23...
  6. MBOKA NA NGAI

    Rais wa DRC tayari kwa mazungumzo na M23

    Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23. Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda...
  7. Equation x

    Mapigano ya DRC na M23 yameishia wapi?

    Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?
  8. MBOKA NA NGAI

    M23 mlangoni mwa Walikale

    Huko Kivu kasikazini, vita kati ya jeshi la serikali na kundi la M23 vinaendelea. Leo hii,tarehe 9 Machi 2025, limekabwa eneo la Nyabyondo. Eneo hili lipo karibu na jimbo la Walikale. Ikumbukwe kwamba, hapa WALIKALE, ndipo ulipoo mgodi wa ALPHA MINE, ambao ni mali ya serikali ya CANADA. Canada...
  9. T

    General OMEGA. Siri kubwa ya M23. Maandalizi ya kumkabidhi serikali ya Rwanda

    Aliekuwa kiongozi wa kundi la waasi la FDLR, General OMEGA, siku za nyuma, baada ya handaki aliyokuwemo na wenzake kulipuliwa na M23, na kusababisha vifo vya badhi ya walinzi wake, na kuhisiwa kuwa na yeye amefia katika shambulio hilo, alikamatwa na M23 na kuhifadhiwa kwa siri kubwa. Msemaji...
  10. Marie Antoinette

    Kinshasa yiyomoyeho ibice bigenzurwa na M23

    epubulika ya Demokarasi ya Congo yanzuye ko ibicuruzwa byose bituruka mu bice bigenzurwa na AFC/M23 bizajya byishyura imisoro nk’ibyinjiye mu gihugu bivuye mu mahanga, ibyafashwe nk’aho ubutegetsi bwa Tshisekedi bwikuyeho intara za Kivu zombi. Urwego rushinzwe kugenzura imipaka (DGDA)...
  11. Marie Antoinette

    M23 ikomeje kwigarurira ibice muri Kivu y’epfo

    Abarwanyi b’umutwe witwaje intwaro wa M23 urwanya ubutegetsi bwa Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, binjiye muri Teritwari ya Mwenga mu Ntara ya Kivu y’Amajyepfo.
  12. MBOKA NA NGAI

    Dalili za kupotezea maeneo inayotawala M23

    Uongozi wa jimbo la Beni, umetaarifiwa na serikali ya rais wa DRC Tshisekedi, kutotambua bidhaa kutoka mji wa Goma, kwa njia ya ardhi au ya anga, maeneo ya Bunagana na Ishasha, maeneo yanayosemekana kuwa mikononi mwa jeshi la Rwanda. Bidhaa zote kutoka maeneo hayo, zitatakiwa kulipa ushuru kama...
  13. Alvin_255

    Why Is the Congolese Army Struggling Against M23?

    1. Rampant Corruption and Poor Compensation One of the most significant issues plaguing the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC) is systemic corruption. Soldiers are often poorly paid, leading to low morale and an increased likelihood of desertion. Reports indicate that some...
  14. MBOKA NA NGAI

    M23 yasubije inyuma Wazalendo yagerageje kwinjira i Bukavu

    Umutwe witwaje intwaro wa M23 urwanya ubutegetsi bwa Repubulika Iharanira Demokarasi ya Congo, wasubije inyuma abarwanyi b’Ihuriro rya Wazalendo bacengeye mu Mujyi wa Bukavu uherereye mu Ntara ya Kivu y’Amajyepfo. Abarwanyi ba Wazalendo bagaragaye binjirira ahazwi nka Camp TV muri Komine ya...
  15. chizcom

    Kujiunga kwa DRC na Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Kumechangia Unyang’anyi wa M23?

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilijiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 kwa matumaini ya kukuza uchumi, kuimarisha ushirikiano wa kikanda, na kupata msaada wa kijeshi dhidi ya waasi. Hata hivyo, tangu kujiunga kwake, hali ya usalama mashariki mwa DRC imezidi kuzorota...
  16. MBOKA NA NGAI

    FDLR waliokamatwa na M23, kurudishwa Rwanda

    Leo tarehe 1 Machi, baadhi ya wapiganaji wa FDLR waliokamatwa na M23, katika vita vya Goma, vilivyoiacha Goma mikononi mwa M23, tarehe 27 January 2025, watafikishwa mpaka wa La Corniche kati ya DRC na RWanda, kukabidhiwa serikali ya Rwanda. Baada ya kupokelewa na serikali ya Rwanda, watu hawa...
  17. MBOKA NA NGAI

    Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda. Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
  18. MBOKA NA NGAI

    M23 yawatangaza Gavana na manaibu Gavana wa Kivu kusini

    Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni • Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo • Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu gavana wa mambo ya siasa, uongozi na sheria. • Bwana GISHINGE GASINZIRA Juvénal, Naibu gavana wa uchumi...
  19. T

    Watu 11 wauawa katika mlipuko kwenye mkutano wa M23

    Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23, ambalo lilichukua udhibiti wa mji huo mapema mwezi huu. Viongozi wa waasi wameituhumu Serikali ya...
  20. Lord denning

    Tetesi: Wanajeshi wa Tanzania na wenzao wa SADC Washikiliwa Mateka kama Mateka wa Vita na Wanamgambo wa M23 huko Goma

    Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u Kwenye taarifa yao, waandishi...
Back
Top Bottom