The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.
Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa...
Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida.
Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
Makala ndefu sana!
Mwenye kutafsiri aje atusaidie
https://www.newtimes.co.rw/article/24237/news/africa/tshisekedis-vast-armoury-in-goma-and-plan-toinvaderwanda
Umewhi kujiuliza kwenye hio vita ya congo ingekua ni jamii mbili tofauti ndo zinazopiganna yani mfano jamii moja iwe mtu mweus nyingine iwe mzungu au mwarabu mu asia n.k
Si kwa chuki, si kwa uchochezi, bali kwa kusema ukweli! unawezaje kumbagua mwafrika mwenzako mweusi mwenzako kisa kabila...
BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23
South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo
Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima
USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii
Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
Kwa source za ki intelgensia unaambiwa m23 wapo kila sehemu kwa sasa hawategemei struggle kuteka mji kama ilivo mwanzo uko kivu.
KWA NN BUKAVU IMEKAMATIKA KIRAISI?
m23 wamejipanga na wana intelgensia hatari wamesha sambaza wanajeshi wake congo nzima kwaiyo mkuu akifika wanapiwa taarifa wavae...
https://x.com/dr_dash250/status/1891461698176811367
Mwa huu una mapya.
M23 ikiwa Bukavu,imewaomba wakazi wa maeneo hayo kuhakikisha waliojihusisha na wizi wa mali za watu,wanarudisha kwa usalama wao. Raia wenyewe wanasonteana vidole, na vitu vinarudishwa.
Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa 24,kuanzia kesho tarehe 18-2-2025 saa kumi na mbili asubuhi.
Watoa huduma wote, wanatakiwa...
Jamani, vita vya DRC ni kama comedi.
Hakika ndo maana watu wengi wameamua kukaa pembeni.
Huu ni ujumbe kwa rais wa DRC na wasaidizi wake.
Haya hapa mapokezi ya M23 mpakani Kamanyola
https://x.com/dr_dash250/status/1891498868463792504?s=46
https://x.com/wembi_steve/status/1891466715671769123...
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?
Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.
Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki...
Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir.
Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye kujiona wao ni waarabu lengo lake lilikua kuwafurusha waafrika weusi toka kwenye jimbo la Sudan la...
Baada ya kuwa M23 iliingia mjini Bukavu jana jioni, iliendelea na mambo yake, na leo asubuhi ndo jeshi lake likawasili mpakani,na kukuta pako wazi, baada ya jeshi la serikali na wafanyakasi wa sekta mbali mbali.
Taarifa zilizopo, ni kwamba baada ya uwanja wa ndege wa Kavumu kukamatwa na M23...
Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.
Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini...
Habari zilizopo kwa sasa, ni kwamba baada ya wanajeshi wa Burundi na FARDC kukimbia uwanja wa ndege na kukimbilia mjini Bukavu, yawezekana M23 tayari ilikuwa mjini ikiwachora tu. Tofauti na Goma, M23 imewatangazia maeneo ya wazi wanaohitaji kutoka mjini humo, na kweli wanajeshi wa serikali...
Waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini.
Uwanja huo wa ndege upo takribani kilomita 20 kutoka mji wa Bukavu ambapo wakaazi...
M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu.
Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa.
Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi wa kamatwa mateka kwa wingi na wengine wakimbia kwa kuokoa Marshall yao.👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.