The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya jeshi ya M23 ili iamue yenyewe hatma ya maisha yao.
Hili limetokana na maisha magumu waliokuwa...
Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili.
Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC
Mapigano yalianza alfajiri ya Jumanne karibu na...
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu.
Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote.
Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC...
This saga is extremely very continuous or in progress till when America and allies are assured that no more precious mineral are found and dug in DRC.
East African presidents are crazy and surely nincompoop thinking that kagame is alone and arrogant to this atrocity.
Kagame is a middle man...
Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
Lambert MENDE, aliwahi kusema haya:
https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920
Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya kipekee: Ni kwamba, miaka ya nyuma mpaka hapa tulipo, makosa yalifanyika.
Kuamini kwamba tunaweza...
Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu.
Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu.
Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically.
Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo
Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea
Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa...
Kimekuwa na media nyingi zinazowasema vibaya M23 huko congo ila kwa background hali ni tofauti, raia wa Goma na wengine wanafurahia mapinduzi ya M23.
Hapa ndio naanza kuelewa kuwa haya mapigano yanafadhiriwa pakubwa na nchi za Ulaya na kupotosha kuwa hao jamaa ni waasi ikiwa serikali kuu ndio...
Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa.
Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
Msemaji mkuu wa M23, Lawrence kanyuka, ametangaza kukamatwa kwa watu 5, 3 wakiwa wanajeshi wa FARDC(jeshi la Congo) na 2 wengine wakiwa wanamgambo wa FDLR. Watu hawa walikamatwa na bunduki 4 na mambomu ya kurushwa kwa mkono. Katika kuhojiwa, walisema walikuwa katika kambi ya MONUSCO mjini humo...
Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.
Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073
Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine. Mkiambiwa, mnatakiwa muelewe hali halisi ya kinachoendelea. Nadhani wenzetu wa Kivu Kusini na Kasikazini...
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
Wakati nchi ya Malawi ikiamua kuondoa majeshi yake nchini Congo, kwa mission ya SAMIRDC, ya nchi a SADC;
Na baada ya tangazo la M23, la kusitisha mapigano, mpaka sasa, mji wa Nyamibwe, tayari umeangukia mikononi mwa M23.
Mashambulizi yameanza mapema leo, na ndo yameacha mji huo uliopo kilomita...
Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali.
Bwana BAHATI MSANGA JOSEPH, ndo ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa.
Ikumbukwe, siku za nyuma serikali ilimteua MAJOR GENERAL...
Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana.
Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.