Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa...