m23

The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. GOMA: Wanajeshi wa FARDC waamua kujisalimisha kwenye kambi ya jeshi ya M23

    Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya jeshi ya M23 ili iamue yenyewe hatma ya maisha yao. Hili limetokana na maisha magumu waliokuwa...
  2. Mwandishi arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma

    Mwandishi UMUTONI Adeline arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma
  3. Waasi wa M23 waanza tena mashambulizi dhidi ya Jeshi la DRC baada ya kusitisha kwa siku mbili

    Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili. Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC Mapigano yalianza alfajiri ya Jumanne karibu na...
  4. Tetesi: South Africa yatuma wanajeshi wengine DRC kukabiliana na M23

    Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
  5. Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

    Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu. Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote. Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC...
  6. D

    The M23 Saga will be ove over only if minerals are no more!!

    This saga is extremely very continuous or in progress till when America and allies are assured that no more precious mineral are found and dug in DRC. East African presidents are crazy and surely nincompoop thinking that kagame is alone and arrogant to this atrocity. Kagame is a middle man...
  7. Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  8. Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

    Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka...
  9. Mazungumzo na M23 hayatakaa yatokee

    Lambert MENDE, aliwahi kusema haya: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920 Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya kipekee: Ni kwamba, miaka ya nyuma mpaka hapa tulipo, makosa yalifanyika. Kuamini kwamba tunaweza...
  10. Ethiopia iliwezaje kushinda vita ya Tigray waliokua wanakaribia Adis Ababa afu DRC inashindwa na m23 kisa vifaaa?? Inashindwa kukopy na kupaste

    Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu. Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu. Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically. Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
  11. Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

    Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa...
  12. Kwanini media nyingi duniani zinaeneza uongo dhidi ya M23?

    Kimekuwa na media nyingi zinazowasema vibaya M23 huko congo ila kwa background hali ni tofauti, raia wa Goma na wengine wanafurahia mapinduzi ya M23. Hapa ndio naanza kuelewa kuwa haya mapigano yanafadhiriwa pakubwa na nchi za Ulaya na kupotosha kuwa hao jamaa ni waasi ikiwa serikali kuu ndio...
  13. Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa AFC/M23 Corneille Nangaa akamatwe

    Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
  14. M23 yaituhuhumu MONUSCO kuwaachia huru badhi ya wanajeshi na waasi wa FDLR

    Msemaji mkuu wa M23, Lawrence kanyuka, ametangaza kukamatwa kwa watu 5, 3 wakiwa wanajeshi wa FARDC(jeshi la Congo) na 2 wengine wakiwa wanamgambo wa FDLR. Watu hawa walikamatwa na bunduki 4 na mambomu ya kurushwa kwa mkono. Katika kuhojiwa, walisema walikuwa katika kambi ya MONUSCO mjini humo...
  15. Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

    Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23). Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
  16. Baada ya jana Nyamibwe kuangukia mikononi mwa M23, leo tayari wapo Ihusi

    https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073 Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine. Mkiambiwa, mnatakiwa muelewe hali halisi ya kinachoendelea. Nadhani wenzetu wa Kivu Kusini na Kasikazini...
  17. M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini

    Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
  18. Nyabibwe: Mikononi mwa M23

    Wakati nchi ya Malawi ikiamua kuondoa majeshi yake nchini Congo, kwa mission ya SAMIRDC, ya nchi a SADC; Na baada ya tangazo la M23, la kusitisha mapigano, mpaka sasa, mji wa Nyamibwe, tayari umeangukia mikononi mwa M23. Mashambulizi yameanza mapema leo, na ndo yameacha mji huo uliopo kilomita...
  19. M23 yaweka viongozi wapya Goma

    Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali. Bwana BAHATI MSANGA JOSEPH, ndo ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa. Ikumbukwe, siku za nyuma serikali ilimteua MAJOR GENERAL...
  20. J

    M23 wafanya shambulio jipya DRC mara baada ya kusema watasitisha mapigano nchini humo

    Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…