Pichani, ni magari ya kivita na siraha nzito. Zilitelekezwa na jeshi la Congo, na kwa sasa ni mali ya M23.
Hakika na serikali ya DRC ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa M23.
Pamoja na vifaa hivyo, imo ndege moja ya kivita, aina ya Sukhoi -25.
Zaidi ya wanajeshi 480 ambao ni RG(Rwpublican Guard)...