Habari ndugu wana JF.
Kuna video zimekua trend kwenye mitandao zinazohusiana na wanafunzi kuonesha vitendo vya upotevu wa nidham ya hali ya juu.
Ila je wewe mwana jamii forums ushajiuliza tatizo ni nini?
Naomba nitume ujumbe wangu huu kwa mama yetu na waziri husika Mh. Gwajima
Tatizo la...
Asilimia kubwa ya sisi ngozi nyeusi tuna kwepa sana majukumu hasa ya watoto na tunataka watoto wakae Bording mbali na macho yetu, kwamba huko ndio salama na Day sio salama, kwamba kule kuna Mapadri wakorofi, na Masister wakorofi sana.
Mzazi yuko tiyali apeleke kitoto cha miaka 7 Bording kikae...
Maadili ya watoto wa Mlandizi yameporomoka sana, akibainisha kuwa "watoto wadogo wa shule ya msingi wanajua mambo ya k*******". Anahoji watoto wanapata wapi mambo hayo ikiwa sio kwa wazazi wao ambao wanafanya vitendo viovu na kuwaambukiza watoto.
"Nini maana ya shughuli? Shughuli ni kwenda...
Mtu akisha kosa aibu anaweza fanya au ongea jambo lolote lile.
1. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kuozesha binti yao na akawa sio bikra, now si aibu.
2. Ilikuwa ni aibu mtoto kuzalia nyumbani bila ndoa sasa si aibu tena.
3. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kupokea mali yoyote kwa mtoto wao bila kujua...
Jumuiya ya Wanawake CCM (UWT) imeungana na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii katika kuadhimisha Siku ya Familia Duniani, ikiwataka wazazi kuungana katika suala la malezi badala ya kumwachia mzazi mmoja.
Hayo yamezungumzwa leo Mei 15, 2024 jijini Dodoma na mwenyekiti wa UWT, Mary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.