BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Asilimia kubwa ya sisi ngozi nyeusi tuna kwepa sana majukumu hasa ya watoto na tunataka watoto wakae Bording mbali na macho yetu, kwamba huko ndio salama na Day sio salama, kwamba kule kuna Mapadri wakorofi, na Masister wakorofi sana.
Mzazi yuko tiyali apeleke kitoto cha miaka 7 Bording kikae huko kisa kule kuna Madam mmoja mzuri sana anajua kukaa na watoto. Sasa mama mzazi na Baba mzazi wanashindwa kutunza mtoto walie mzaa wanataka Madam ama Sir ndio awatunzie? Madam mmoja atunze watoto 300.
Tena mtu anajisifu mtaa mzima kwamba mtoto wake yuko Bording.
Bording school kwa sasa zinapigwa sana vita hata Kenta wanawaza kuondoa kabisa kitu kinaitwa Bording na kila mtoto akae na wazazi wake.
Wamekuja gundua watoto waaharibika sana Borimding kuliko wakiwa Day.
Zamani kilicho saidia Bording walikuwa wanaenda watu wakubwa kabisa.
Now day mtoto wa miaka 10 yuko Bording unategemea nini?
Mzazi anapaswa yeye ndie akae na mtoto wake na amfundishe maadali na wala sio Madam ama Sir ama Sisiter.
Ipo siku tutaelewa na itakuwa too late.