Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Wewe ni muongoukiona mtoto wako anakuogopa na hata kijificha au kutokuwa huru akiwa na wewe au ana furahia ukindoka na anakosa amani ukirudi, basi ujue unakosea ktk malezi, mtoto wako anapaswa aweze kuongea na wewe kama akiwa na tatizo aweze kukwambia, plius kama unamfokea au hata kumpiga mama yake mbele ya watoto wake huo ni udhalilishaji na unyanyasaji na itamuathiri watoto maisha yao yote ...