Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwahiyo kazi hufanyi unalea sio? Kwanini umewachukuwa bado wadogo hivyo🤔Alikuwa nao ila tangu February wapo kwangu sasa ......... Nishaanza wafundisha kuoga mpk wafike miaka saba aaah mafundi
Kwahiyo kazi hufanyi unalea sio? Kwanini umewachukuwa bado wadogo hivyo🤔Alikuwa nao ila tangu February wapo kwangu sasa ......... Nishaanza wafundisha kuoga mpk wafike miaka saba aaah mafundi
wana miaka minne, naenda job wanaenda day care wakitoka wanaenda home.... sio mbali na homeKwahiyo kazi hufanyi unalea sio? Kwanini umewachukuwa bado wadogo hivyo🤔
Duhh sijui nmejisikiaje tu! Kama ni kweli lazima kuna namna wanahitaji kuwa na mama yao 4 years bado wadogo!wana miaka minne, naenda job wanaenda day care wakitoka wanaenda home.... sio mbali na home
Sitaki kuwa msumbfu kwa muke ya mtu
Kwa uhalisia ni kwamba mtoto akiwa chini ya miaka 14 inafaa apate uangalizi wa wazazi kwa karibu na ndo muda anaweza kujifunza maadili atakayoyaishi ukubwani, boarding ingefaa baada ya umri huoAsilimia kubwa ya sisi ngozi nyeusi tuna kwepa sana majukumu hasa ya watoto na tunataka watoto wakae Bording mbali na macho yetu, kwamba huko ndio salama na Day sio salama, kwamba kule kuna Mapadri wakorofi, na Masister wakorofi sana.
Mzazi yuko tiyali apeleke kitoto cha miaka 7 Bording kikae huko kisa kule kuna Madam mmoja mzuri sana anajua kukaa na watoto. Sasa mama mzazi na Baba mzazi wanashindwa kutunza mtoto walie mzaa wanataka Madam ama Sir ndio awatunzie? Madam mmoja atunze watoto 300.
Tena mtu anajisifu mtaa mzima kwamba mtoto wake yuko Bording.
Bording school kwa sasa zinapigwa sana vita hata Kenta wanawaza kuondoa kabisa kitu kinaitwa Bording na kila mtoto akae na wazazi wake.
Wamekuja gundua watoto waaharibika sana Borimding kuliko wakiwa Day.
Zamani kilicho saidia Bording walikuwa wanaenda watu wakubwa kabisa.
Now day mtoto wa miaka 10 yuko Bording unategemea nini?
Mzazi anapaswa yeye ndie akae na mtoto wake na amfundishe maadali na wala sio Madam ama Sir ama Sisiter.
Ipo siku tutaelewa na itakuwa too late.
Ni kweli madam Ila anaenda kwenye ndoa yake..... Tumwache akawajibike huko na kuna muda akipita karibu na shulen atanipgia yupo nao ingawa ndo maisha yalivyoDuhh sijui nmejisikiaje tu! Kama ni kweli lazima kuna namna wanahitaji kuwa na mama yao 4 years bado wadogo!
Dahh kweli una moyo, aisee mimi ningekosa amani kabisa! Ningepungua kgs kukaa mbali na madogo umri huo hmm😢Ni kweli madam Ila anaenda kwenye ndoa yake..... Tumwache akawajibike huko na kuna muda akipita karibu na shulen atanipgia yupo nao ingawa ndo maisha yalivyo
Ni kweli madam, ukiwa na mapenzi kwa watoto wakiwa wadogo ni kamzozo ila tuache maisha yaendelee...... Aika maeDahh kweli una moyo, aisee mimi ningekosa amani kabisa! Ningepungua kgs kukaa mbali na madogo umri huo hmm😢
Kabisa mkuu!Ni kweli madam, ukiwa na mapenzi kwa watoto wakiwa wadogo ni kamzozo ila tuache maisha yaendelee...... Aika mae
Uko vzr,,, you have humanity ndani yako.......Kabisa mkuu!