Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
Watani zangu fulani (wa Mkoa fulani) mnajijua na 'masweta' yenu tukuka Ikuluni Kwenu tafadhali kaeni mbali kabisa na huu Uzi wa Mzanaki, kwani hauwahusu sawa?
Leo hii shughuli ipo hapa hakyanani!
1.1 Utangulizi
Katika kuhakikisha suala la utawala bora linatekelezwa hapa nchini, serikali imekuwa ikifanya juhudi za mageuzi ya kutumia teknolojia na kuanzisha mifumo ya Tehama, hii ikiwa ni katika jitihada za kuimarisha uwazi na uwajibikaji kiutendaji katika ngazi mbalimbali zinazotoa...
maadili
mabaraza ya kata
maendeleo endelevu
migogoro ya ardhi
rushwa
sheria ya mahakama ya migogoro ya ardhi
upatikaji wa suluhu
utawala bora
uwazi na uwajibikaji
wajumbe wa baraza
Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania.
Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili
Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, umomonyoko wa maadili na malezi duni umekuwa ukisababisha changamoto kubwa katika kufanikisha uwajibikaji na utawala bora.
Kwanza kabisa, tunapaswa kuwalaumu wazazi kwa kushindwa kuwalea...
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.
1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World.
2. Januari Makamba-...
MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII:
ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi kwenda kwa mkristo ukamkuta anafanya kazi ngumu kama vile kulima, kukata majani ya ng'ombe pia hata...
Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili.
Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi.
Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani...
Siku hizi kila muda ni maadili! maadili! lakini wengine hawajui kuwa wanapiga kelele tu zisizo na tija. hebu hizo juhudi za kujenga maadili mema changanyieni na hizi
1.Azam achieni ile chaneli ya ZBC2 iruke watu waangalie bure hata bila kulipia. kama nakosea mtanirekebisha lakini nijuavyo ile...
Habari ndugu Wana jukwaa,
Naomba kwa dhati na nia njema tusaidiane kuyaanisha maeneo makuu ya maadili yanaoyebeba kinachoitwa maadili ya mtanzania au Kitanzania ni yapi.
Je, hayo maeneo makuu yanayobeba maadili ya Mtanzania ni yapi?
Nyongeza je, hatua ya viongozi kuwa wala rushwa, wezi...
Habarini wakuu!
Rushwa. Ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu wa mali za umma, ukandamizaji na ubinyaji wa haki za binadamu ikiwemo uhuru wa vyombo ya habari,Upindishaji wa haki na sheria, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, unyanyasaji na ukosefu wa usawa wa kijinsia miongoni mwa kero na...
UTANGULIZI
Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA.
Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na lenye kuleta mjadala mkubwa ili tija ipatikane Kwa kuinusuru jamii yetu. Hivi sasa jamii imepoteza...
Na Gordon Kalulunga
Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka.
Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa.
Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
Na Gordon Kalulunga
Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka.
Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa.
Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.