maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliyemrekodi Mgonjwa anayedaiwa kuvunja Maadili MOI amechukuliwa hatua gani kwa kuingilia Faragha ya mtu?

    Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
  2. Je, ni kweli waliotahiriwa vichakani wana maadili na wavivu kichwani, ila waliotahiriwa hospitalini ni wajanja na werevu?

    Watani zangu fulani (wa Mkoa fulani) mnajijua na 'masweta' yenu tukuka Ikuluni Kwenu tafadhali kaeni mbali kabisa na huu Uzi wa Mzanaki, kwani hauwahusu sawa? Leo hii shughuli ipo hapa hakyanani!
  3. P

    SoC03 Utawala bora katika Mabaraza ya Kata

    1.1 Utangulizi Katika kuhakikisha suala la utawala bora linatekelezwa hapa nchini, serikali imekuwa ikifanya juhudi za mageuzi ya kutumia teknolojia na kuanzisha mifumo ya Tehama, hii ikiwa ni katika jitihada za kuimarisha uwazi na uwajibikaji kiutendaji katika ngazi mbalimbali zinazotoa...
  4. M

    SoC03 Maboresho ya kiutendaji idara ya ustawi na maendeleo ya jamii katika kukabiliana na vifo, ukatili pamoja na upotofu wa maadili ngazi ya familia

    Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
  5. Rais Samia atoa angalizo kwa NGO's, ataka Masharti ya wafadhili yaendane na Maadili, Utamaduni wa Tanzania

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania. Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
  6. Mufiti na sheikh Mkuu wa Tanzania awataka Masheikh na Maimamu wote Nchini wakemee mmomonyoko wa Maadili

    Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
  7. G

    SoC03 Umomonyoko wa Maadili na malezi duni nani alaumiwe?

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, umomonyoko wa maadili na malezi duni umekuwa ukisababisha changamoto kubwa katika kufanikisha uwajibikaji na utawala bora. Kwanza kabisa, tunapaswa kuwalaumu wazazi kwa kushindwa kuwalea...
  8. S

    Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

    Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni. 1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World. 2. Januari Makamba-...
  9. M

    SoC03 Tumtafute Mungu sana pia tutafute pesa kwa bidii

    MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII: ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi kwenda kwa mkristo ukamkuta anafanya kazi ngumu kama vile kulima, kukata majani ya ng'ombe pia hata...
  10. Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  11. SoC03 Maadili ya Uongozi: Hadithi ya Simba Mfalme na Nyani Mjanja

    MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA Imeandikwa na: Mwl.RCT Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
  12. P

    Walipopoteza unyenyekevu na Taifa likaanza kupoteza maadili na ubinafsi ukaanza kuota mizizi

    Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi. Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
  13. Tangu sifa za makalio ziimbwe mabinti akili zimekwisha, maadili wameweka kando

    Tangu wanaume wawaimbie sifa za kuwa na makalio makubwa wanawake ndio wenye soko mjini na vijijini mabinti wamelewa sifa hizo na akili wameweka kando wamebakiza makalio, yawezekana ndio ujana wa sasa ulivyo ila je wamewahi fikiri haya wanayoyafanya sasa huko mitandaoni kama wataweza kutamani...
  14. Kelele za kuhusu maadili ziendane na mambo haya

    Siku hizi kila muda ni maadili! maadili! lakini wengine hawajui kuwa wanapiga kelele tu zisizo na tija. hebu hizo juhudi za kujenga maadili mema changanyieni na hizi 1.Azam achieni ile chaneli ya ZBC2 iruke watu waangalie bure hata bila kulipia. kama nakosea mtanirekebisha lakini nijuavyo ile...
  15. Maeneo makuu ya maadili ya Mtanzania au ya Kitanzania ni yapi? Kama yapo, ni maeneo tanzu au mtambuka?

    Habari ndugu Wana jukwaa, Naomba kwa dhati na nia njema tusaidiane kuyaanisha maeneo makuu ya maadili yanaoyebeba kinachoitwa maadili ya mtanzania au Kitanzania ni yapi. Je, hayo maeneo makuu yanayobeba maadili ya Mtanzania ni yapi? Nyongeza je, hatua ya viongozi kuwa wala rushwa, wezi...
  16. SoC03 Tutapata wapi viongozi bora wenye maadili?

    Habarini wakuu! Rushwa. Ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu wa mali za umma, ukandamizaji na ubinyaji wa haki za binadamu ikiwemo uhuru wa vyombo ya habari,Upindishaji wa haki na sheria, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, unyanyasaji na ukosefu wa usawa wa kijinsia miongoni mwa kero na...
  17. SoC03 Mwarobaini Mmomonyoko wa Maadili

    UTANGULIZI Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo vya ushoga, uasherati na uzinzi, wizi, ulevi, uvutaji bangi na matumizi ya dawa za kulevya ambavyo...
  18. Y

    SoC03 Kizungumkuti cha maadili nchini Tanzania

    KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA. Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na lenye kuleta mjadala mkubwa ili tija ipatikane Kwa kuinusuru jamii yetu. Hivi sasa jamii imepoteza...
  19. S

    Tukiacha kuficha sabuni kwenye maji tutalinda maadili yetu

    Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa. Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
  20. S

    Tukiacha kuficha sabuni kwenye maji, tutalinda maadili yetu

    Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo Sabuni kwenye Maji nasi tunamshangaa. Katika suala la mmomonyoko wa maadili serikali ilificha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…