Baadhi ya Watumishi tunaomba kufanyiwa Re-Cotegorization tangu mwezi Machi mpaka sasa hakuna mabadiliko yoyote, na tukijaribu kufuatilia unakuta barua zimenasa masijala tu. Hali hii inashusha morali sababu watumishi Halmashauri nyinginezo ambao wana madai sawa na yetu ni tayari...
Habari za wakati huu!
Mimi ni mtumishi wa umma , ambaye nimekuja kuwakilsha watumishi wa chini ya Tamisemi ambao ni Afya na Elimu ambao kwa sasa wapo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni. Naleta kilio changu hapa jukwaani nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa sana moyoni mwangu...
Tumeajiriwa mwaka 2024 mpaka sasa hutujathibitishwa kazini na afisa utumishi anasema yupo busy na kazi nyingine tunashindwa kufanya mambo mengine na wanatutishia kusitisha ajira zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.