maajabu

  1. GoldDhahabu

    Maajabu ya jiji la Kampala

    1. Si kubwa kama jiji la Dar Es Salaam, lakini ningeambiwa nichague pa kuishi, ningepapendelea Kampala kutokana na hali yake ya hewa nzuri 2. Lugha ya Kiganda ndiyo imetawala kuanzia kwenye maredio na mitaani. Kizungu hutumika kinapohitajika 3. Kuna maeneo kuna Waswahili pia. Kuna mahali...
  2. Braza Kede

    Maajabu ya ndoa: Pasipo ndoa kuna tendo ila palipo na ndoa hakuna tendo

    Wakati bado hamjaoana yani wenyewe ile wanaita 'mnachunguzana' huku mara moja moja mnakutana uwanja nyutro kufanya yenu, hapo mkikutana lazima kiwake sana mta.ti.ana kutwa kucha hadi m.b0..0 inataka kunasia ukouko. Hadi mzee unasema yes hiki ndo chuma sasa ngoja nijimilikishe nitwae mazima...
  3. CARIFONIA

    Maajabu ya Mbwa Mwitu

    🐺 Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake. Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous) na hacheat. Ikiwa mwenzi wake anakufa, mbwa mwitu hubaki peke yake. Anawajua vizuri watoto wake...
  4. Yoda

    Maajabu ya CHADEMA tawi la mtandaoni

    Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground). Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA...
  5. kichongeochuma

    Majibu ya CCM: hoja yao ilikuwa CHADEMA haina demokrasia ina mwenyekiti wa maisha, sasa CHADEMA wanataka mabadiliko ya mwenyekiti CCM wanapinga tena

    Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki. CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
  6. R

    Wakati nyoka na mijusi dume wana uume mbili (hemipenes), ona maajabu matatu ya kipekee kwa majike!

    AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe. Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili, lakini wataamua mfano yai la dume wa hamsini aliyempanda, ndio litakalorutubishwa. Kama jike...
  7. L

    Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
  8. nipo online

    Je wajua maajabu taratibu za ndoa nchini Sudan Kusini?

    katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii, Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
  9. K

    Maajabu ya Tanzania: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake na ripoti fake

    Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania 1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza! 2. Ripoti za...
  10. Influenza

    Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  11. ward41

    Mji wa Jerusalem na maajabu yake

    Mji mkuu wa Israel Jerusalem una maajabu mengi. Neno Jerusalem lina maana (misingi ya amani) 1) Uko katikati ya dunia. 2) Umezungukwa na milima 3) Manabii wote walifia Jerusalem 4) Yesu alisulubiwa Jerusalem 5) Adam alizikwa Jerusalem 6) Abraham alimtoa sadaka isaka Jerusalem 7) Ni chimbuko la...
  12. ward41

    Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  13. lizy22

    Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

    Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024. Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
  14. Waufukweni

    Kenya: Maajabu! Mwanamke ajifungua mtoto wa Kihindi, Amlaumu mume kwa kutazama filamu za Kihindi

    Haya ni maajabu! 😂 Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi. Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto. Inasemekana...
  15. E

    CHADEMA wameshindwa watoa kina Mdee bungeni wanakuja na Samia Must Go, nchi hii ina maajabu mengi sana

    Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19. Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
  16. enzo1988

    Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

    Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
  17. State Propaganda

    Vikwazo dhidi ya Urusi vyazidi kuichakaza EU. This time

    Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

    Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo. Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
  19. Suley2019

    Rais Samia: Wanaolipa kodi Tanzania ni milioni 2 tu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania wengi zaidi walipe kodi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Rais Samia amesema hayo leo October 04,2024...
  20. Freyzem

    Maajabu ya Serikali! Watumishi wanyang'anywa ongezeko la Mshahara!!

    Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea! Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi! Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa...
Back
Top Bottom