Wanajamvi,
Hii nimeikuta ukutani kwangu nikaona kubwa ni busara kueleta hapa ingawa kwenye hili mimi sina upande ninaoshabikia .
'Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano.
Naomba kuanza na angalizo,
Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
Vituko Duniani hua haviishi.
Baba na mwanae wa kike wanashitakiwa kwa kosa la kumteka mwanamke mwingine, kumuibia na kisha kumbaka, huku binti akitajwa kumsaidia baba yake kumbaka huyo mwanamke.
Soma hiki kisa hapa.
Father, daughter charged with raping woman, leaving her to die in desert...
Habari Zenu Jf Members?
kuna maswal mengi sana huwa najiuliza inakuwaje watu wanafanana sura na ili hali hawatoki ukoo mmoja, unakuta labda 50 cent kafanana na mtu kutoka Kenya. mpaka msemo wa dunian wawil wawil ukaibuka. hii imekaaje asee? mwenye uwelewa wa hii kitu anifafanulie
Habarini,
Kuna kitu kimenishangaza kwa wanyama wa mwituni. Mfano, nilikuwa naangalia channel ya wanyama muda huu, kuna Chui jike ana watoto watatu anakanao kwenye pango. Akitaka kutoka kuhamia kwingine vinamfuata nyuma.
Kilichoniacha hoi ni pale mama yao anapoinuka kutaka kwenda kuwinda...
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation.
Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84.
======
Baada ya mgogoro uliodumu...
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.
Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.