maajabu

  1. Wazo la kabwela

    Maajabu ya mwanamke yaliyowashinda hata wanafalsafa kuelewa

    Ukinipinga pinga kwa hoja. Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote linapokuja suala la wanawake lazima atoke kapa na (ndio maana haieleweki hata kama akioa). Manabii na...
  2. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Maajabu: Fomu ya kuomba Wadhamini ya Mgombea wa CCM inatembezwa na Viongozi wa CCM Makao Makuu...

    Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015...
  3. ngoshwe

    Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  4. WilsonKaisary

    Haya ndiyo maajabu 7 ya dunia

    Mara nyingi watu husikia mara kwa mara kuhusu maajabu 7 ya Dunia, ila wengi wao hawajui ni yapi. Basi tuwe pamoja katika kuyaelezea tupate kuyafahamu vizuri.. Maajabu hayo ni kama yafuatayo: 1: Piramidi za Giza (Misri ya Kale) 2: Mabustani ya Semiramis (Babeli) 3: Hekalu ya Artemis mjini Efeso...
  5. Superbug

    Maajabu ya NASA

    Duniani kuna mambo ya kushangaza . Unaijua NASA Ndio nasa shirika la anga za juu la mmarekani ambalo hakuna taasisi ya anga za juu kubwa kuliko yoyote duniani Kama NASA . Hata hao space x unaowasikia manjonjo yao yote yanaratibiwa na NASA. Sasa cha ajabu hawana jengo lao binafsi jengo ambapo...
  6. Mzalendo2015

    Dunia inashuhudia Tanzania ikionesha maajabu!

    Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19! Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli: Tanzania ilikataa kwenda Lockdown. Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka. Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai...
  7. M

    Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

    Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni. Wadada wanaonyesha kuwa...
  8. G Sam

    Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
  9. The Mongolian Savage

    MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

    Mzuka wanajamvi Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi. Kwa...
  10. B

    Habari Njema: Tiba Lishe Ya NIMRI Yaanza Kufanya Maajabu Katika Kuwaponya Wagonjwa wa Covid 19

    Hatimaye watafiti wetu wa tiba mbadala wameanza kupata matokeo chanya katika kuwatibu wagonjwa wa Korona. Kumbe walikuwa katika utafiti kwa muda mrefu tu wakitafiti dawa ya HIV. Na sasa lilipokuja hili la korona wamefanya maboresho wanayoyajua wao. Hatimaye matokeo mazuri yamepatikana...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Uchaguzi 2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

    Habari wakuu! Kwa umri wangu mdogo wa miaka takribani 30 nimejifunza mengi, sijabahatika kuvuka mipaka ya Tanzania lakini nimefika karibu mikoa 20 ya Tanzania bara. Hulka na silka za Watanzania zinafanana. Kwa uelewa wangu wa mambo ya kisiasa niliojifunza mitaani na mitandaoni nimehitimisha...
  12. Ncha Kali

    Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

    Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi “Chupa tumepewa mbili tu (control)...
  13. Pascal Mayalla

    Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Wanabodi, Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
  14. Superbug

    Mr Bean na maajabu yake

    Hizi ni baadhi ya dondoo za Mr Bean. Hakuwa kilaza darasani alifaulu kwa distinction masomo ya sayansi. Kuna wakati alikuwa anaenda Kenya kwa ndege yake binafsi pilot akazimia ghafla angani akiwa anaendesha ndege mr bean akafanikiwa kuingoza ndege yeye mwenyewe huku rubani wake kazimia mpaka...
  15. R

    Maajabu ya Cheetah Mnyama anayekwenda kwa kasi zaidi kuliko wanyama wote wa porini

    Maajabu ya Cheetah mnyama anayekwenda mbio zaidi kuliko wanyama wote nchi kavu. Huyu ni katika wanyama jamii ya paka, na anafanana zaidi na mnyama anayeitwa puma. Cheetah ni mnyama mwindaji kama walivyo chui, simba na mbwa mwitu. Ijapokuwa cheetah wanafanana kwa sura na maumbile lakini unaweza...
  16. F

    Maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani

    Halo JF. Waswahili walisema tembea uone. Katika tembea na pita zangu mkoani Singida hususan wilaya Iramba, natua KIOMBOI mjini yalipo makao makuu ya wilaya. Nakutana na maajabu ya shule ya Msingi Kiomboi Bomani. Katika shule hii kuna walimu wengi na walio wengi zaidi ni wanawake. Penye...
  17. R

    Maajabu: Jana nimenyimwa utamu baada ya kufika hotelini na nguo tumeshavua

    Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu. Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi...
  18. KijanaHuru

    Maajabu ya Grisi (grease) (Hidden World)

    Habari ya leo tena wana jf Kumbuka mimi sifundishi uchawi wala ulozi wala sifanyi mtu amkufuru Mungu ukiona ndani ya nafsi yako unapata ukakasi juu ya elimu hizi na imani yako Ni vyema ukajitenga kabisa na mada kama hizi, maana naamini kuna wengine wanahitaji kupata ufahamu tu hata pasipo...
  19. J

    Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje. Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani. Source Star tv!
Back
Top Bottom