maajabu

  1. M

    Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

    Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza. Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC...
  2. DR HAYA LAND

    Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  3. MPUNGA MMOJA

    Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  4. B

    Maajabu ya msiba, Halima avunja ukimya

    Mabibi na mabwana msiba wa mzee baba umekuwa na maajabu yake. Ilikuwa Jaffo na sasa bi Halima au sauti ya zege: Kutokea kwenye kuvunjwa mkono hadi kwenye mahaba niue, kweli siku hazigandi. Kalale pema peponi JPM.
  5. hypothalamus

    Maajabu ya dunia,mtu aliepata mtoto pasipo kuwahi kuishi kabisa

    Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto? Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza Hakuwa baba wa mtoto Familia iliamua kufanya kipimo maalumu cha 23andMe na matokeo yaliwashangaza zaidi Baba halali wa...
  6. B

    Kutoka Tanga: Tujitathmini kidemokrasia tunaweza kuwa tunapwaya

    Mabibi na mabwana hii clip inajieleza: Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia. Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo. Maendeleo hayana vyama!
  7. Shadow7

    Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  8. Pinkman

    Maajabu ya 'ziwa la mifupa ya binadamu' India

    CHANZO CHA PICHA,HIMADRI SINHA ROY Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu. Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul, moja ya milima mirefu, katika jimbo la...
  9. Ben Zen Tarot

    Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

    Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
  10. FRANCIS DA DON

    Fahamu maajabu ya Vinasaba vinne vya msingi

    Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za baba mtu na kwenda kukamilika tumboni kwa mama. Kidijitali taarifa za kielektroniki zinatunzwa na...
  11. Chizi Maarifa

    Katika hii Safari nimejionea maajabu Makubwa sana

    Nlisafiri kwenda Mkoani. Ili kukwepa traffic na mambo ya mwendo elekezi nikaondoka Dar saa 4 usiku. Kiukweli nlikuwa speed sana mpaka alfajil huo Mkoa watu walikuwa wakiona gari yangu inavyokimbia wanashika vichwa na kuachia mdomo wazi huku macho wametoa hivi. Ile speed nahisi ilikuwa...
  12. Dr Msweden

    Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

    Habari Wana jukwaa? Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tafakuri Jadidi na maajabu ya Bongoland

    Kama Reli Imepita Shambani Kwako... Na kama ilimopita reli tayari ni tuta. Na kama treni haipiti juu ya reli kwa msimu mzima wa kilimo, kuanzia kupanda, palizi hadi mavuno. Je, kuna dhambi gani kwa mwenye shamba kulima mahindi yake na akayavuna kabla ya msimu wa treni kuanza kupita? Ni...
  14. Infantry Soldier

    Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
  15. GENTAMYCINE

    Msiopanda 'DalaDala' mnakosa Uhondo, Vituko na Maajabu makubwa ya Kuzijua vyema zilivyo Akili 'Tata' za Waswahili Wenzetu

    Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha Joto Kali jijini Dar es Salaam ) anaamua Kuhama hapo ili kulikwepa hilo Jua na kwenda Kukaa katika Siti...
  16. T

    Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo

    Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo. 1. Haiwezekani jina la mtu aliye ajiriwa kujirudia zaidi ya Mara 195 alafu wasingizie kuwa ni tatizo la kiufundi. 2. Haiwezekani mtu aliyemaliza form 4 mwaka 2019 kuajiriwa alafu wasingizie kuwa mfumo ulikuwa hauruhusu ku edit...
  17. T

    Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  18. T

    Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  19. J

    Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  20. HIMARS

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    Wadau nini kimetokea? Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda.... Jaribu kwa Airtel, Vodacom
Back
Top Bottom